jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 556
- 830
Kama Mungu alikuletea mume wa maisha yako ila ukamkataa coz of your ego halafu mwanaume huyo akapewa mwanamke mwingine basi hiyo ndo imetoka mama. Utakanyaga sana mafuta lakini kama amekwishaenda ndo amekwenda hivyo na bahati hiyo haiwezi kujirudia kwako maana wanawake wanaoihitaji na kuiomba kwa Mungu hiyo bahati kwa mara ya kwanza ni wengi sokoni.Sawa, kama mtu anaweza omba msamaha na dhambi ikasamehewa, hata hiyo bahati inaweza ombwa mara ya pili ikaja tena
Sent using Jamii Forums mobile app