Mlimani health center
JF-Expert Member
- Nov 25, 2021
- 595
- 1,490
Huyo aliyeku block ndiyo ulikuwa unamtongoza au?Yaan kuna wanawake wanaringa hii dunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mada kama hizi hunifurahisha sana ebu imagine tu mtu unampa mambo anakubluetick na block juu[emoji23][emoji23][emoji23]ugomvi wangu na singo maza haotokaa uishe kamwe
Alieandika ni mwanaume naona unataka kumfira sio🤣Mim nataka nikuowe wew ili yasije kukuta ya dada yk nichek pm tuchart
Yawezekana wewe tayari una mtoto, yeye hata mtoto hana, akifikisha 35 itakua tabu zaidi, ni bora aingie kwenye ndoa yakimshida hatakua na stress kama sasa za kutaka kuolewa, dada angu si mwenye tabia mbaya, na muonekano anao, ni basi tu naona bahati haijamkalia sawaAtulie tu mi Dada yake nipo kwenye 30 na kitu ila huyu mwanaume niliyenae nishamchoka tayari badala ya kutamani kuolewa, natamani niwe single hili pepo la kukaa mwenyewe linaniandama kweli
Sawa, kama mtu anaweza omba msamaha na dhambi ikasamehewa, hata hiyo bahati inaweza ombwa mara ya pili ikaja tenaKatika maisha ya mwanamke yeyote lazima atakuja mwanaume mmoja ambaye atakuwa real kwake mwenye mapenzi ya dhati na nia ya kweli ya kujenga familia nae. Ubaya ni kuwa mara nyingi hii nafasi inakujaga mara moja kwa wanawake walio wengi. Wanawake wachache huiona na kutumia hiyo nafasi vizuri, nao ndio wale ambao huolewa na kuishia kuwa na familia zenye furaha na mafanikio sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli[emoji1666]Yaan mdada ukishakua na presha ya kuolewa lazima utavuruga tu. Muambie atulie apige kazi mume atakuja tu vinginevyo ataangukia kwa kitu cha ajabu aje jutia maisha yake yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dabodaiga mambo yanaenda??Ukweli[emoji1666]
umepotea sana skuizi.... 😂Niko poa
[emoji23]umepotea sana skuizi.... [emoji23]
uwe unasalimia mara mojamoja.... sawa....😂 unakuja hata PM tunabonga 123....[emoji23]
[emoji23][emoji23]dah asante kujali. Nillikuwa mwenye huzuni ila umenifanya [emoji23][emoji23][emoji23]uwe unasalimia mara mojamoja.... sawa....[emoji23] unakuja hata PM tunabonga 123....
karibu sana.....[emoji23][emoji23]dah asante kujali. Nillikuwa mwenye huzuni ila umenifanya [emoji23][emoji23][emoji23]