jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 556
- 830
Kama Mungu alikuletea mume wa maisha yako ila ukamkataa coz of your ego halafu mwanaume huyo akapewa mwanamke mwingine basi hiyo ndo imetoka mama. Utakanyaga sana mafuta lakini kama amekwishaenda ndo amekwenda hivyo na bahati hiyo haiwezi kujirudia kwako maana wanawake wanaoihitaji na kuiomba kwa Mungu hiyo bahati kwa mara ya kwanza ni wengi sokoni.Sawa, kama mtu anaweza omba msamaha na dhambi ikasamehewa, hata hiyo bahati inaweza ombwa mara ya pili ikaja tena
Wanakwambia hauna hadhi ya kuwa na mimiKweli kabisa, nilichoona kwa wanawake wengi hasa wa umri huo wa kuolewa wanaangalia sana mwanaume mwenye kipato fulani. Bahati mbaya sasa hivi mambo magumu vijana wenye vipato vya kueleweka ni wachache mno
Miaka 30 wamechoka[emoji38][emoji38][emoji38]Ushachoka wewe. 30+ ni shangazi pro max kabisa
It's easy to say "I don't give a fuc" but you can reach to a point where even the fuc fuc itself, we are social being, we can't deny that. I totally understand my sister's situation,In my life, I have given a fu.ck about many people and many things. I have also not given a fu.ck about many people and many things. And those fu.cks I have not given have made all the difference.
The point is, most of us struggle throughout our lives by giving too many fu.cks in situations where fu.cks do not deserve to be given.
People aren’t just born not giving a fu.ck. In fact, we’re born giving way too many fu.cks.
Siku dada ako akijua maisha ni yake, maisha ni mapito , maisha ni mbele kwa mbele, maisha ni msimamo atakua kachelewa mana wengine tupo hapa same age na hata kazi yenyewe hatuna na hatujasoma halafu fresh tu watu waseme tu i dont give a fu.ck... Wakristo wanasema wakati wa Mungu ndio sahihi
waswahili wanasema ; kama ipo ipo tu
asifosi wala nini mambo yajaa aache kuyahangaikia yatakuja mda wowote duniani hatukuja kuposana maisha huwa yapo tu , mana asipoposwa atapata tabu sana maishani
aachane kabisa na hizo habari
Hajaolewa.Usifurahi ndoa hizi huzijui vizuri kuna Dada amekaa kwenye ndoa yake wiki 2 tu baada ya kuolewa kanisani.
NakaziaZamu yako sasa na wewe uolewe.
Zamu yako sasa na wewe uolewe.
Teh.! [emoji23][emoji23][emoji23]Hajaolewa.
Kapata Mchumba tu..
Yaan ni kama vile kafanya pepa la Mock exam bado NECTA kamili