Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

Hahaha,ndiyo wewe mkuu nmekuona hapa kwenye Banda Fulani ukiwa full gwanda za CCM?!
Tuko pamoja mkuu,maombi na dua zangu zote Zi juu yako,mafanikio yako ni mafanikio ya JF.

I respect all those who dare!
 
Mkuu umeshaanza kutoa siri za ndani. Angalia wasije wakakutoa nje ya mstari. Naona unataka uchonganishe chama na wananchi.
Kila la heri though!
 
Kaka Pascal kumbe lile shati ni zito kiasi hicho na hamsemi,umetisha 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa bandiko hili tu hapa JF,umesha katwa ...Chezea CCM wewe...inawenyewe...wewe haumo....
 
Hongera saana kuanza ni kugumu kumalizia ni juhudi utafanikiwa

Zingatia ushauri wangu jipendekeze kwa hao mawaziri ,wabunge, spika ili utengeneze Njia wengine wanakuangalia tu wanashindwa pa kuanzia wewe jisogeze, wapigie simu n.k jifanye unamsalimia na karibu mkuu, songolo, kinana anakufahamu vizuri muongeleshe

Kazi nzuri hongera
Keep it up mpaka tufike
 
Uwe tu makini washindani wengine wasipitishwe bila kupingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…