Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Kila la heri Ankoli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwahi kupata sifuri yenye masikio , usimwamini sana , hana watuHongera kaka Mayalla,me nakuombea maana naweza kuwa katibu wako.
Enjoy hapo, hapo ndo mitaa yetu.Hapo pamenilea.
Chips nilizokula hapo ni nyingi mnooo,pole kwa vumbi la hapo.
Nimepamiss sn hapo,nimeimiss nanenane Mbeya.
Mkuu tamuuuuu, asante, na kufuatia jina lako, amini nakuambia yako itakuwa hivyo!, hivyo kazi umepata!.Hongera kaka Mayalla,me nakuombea maana naweza kuwa katibu wako.
Kumbe wewe ni wa huku?. Mimi nayapenda sana maharage Mbeya, ni matamu, malaini, yakipikwa yanaiva upesi kwa kuwekewa maji mara moja tuu, kwisha kazi, wewe ni kujilia tuu!Enjoy hapo, hapo ndo mitaa yetu.Hapo pamenilea.
Chips nilizokula hapo ni nyingi mnooo
Safari hii hakuna vumbi, kila usiku wana mwaga maji. Tatizo kubwa kwangu ni baridi ya Mbeya!, usiku na asubuhi na jioni kuna baridi kali ajabu linapenya hadi blangeti, naomba utumie uenyeji wako wa Mbeya kuhakikisha sipigwi baridi kwa kunitumishia blangeti la ziada ili baridi hii isiniue.,pole kwa vumbi la hapo.
Nimepamiss sn hapo,nimeimiss nanenane Mbeya.
Hongera sana mkuuWanabodi,
Ukiwa na jambo lako, ukaomba msaada wa usaidizi kwa public ili usaidiwe, the public ulioomba msaada ika respond positive, ukasaidiwa kwa michango ya hali na mali, baadhi yetu ni huwa wanyenyekevu wakati wa kuomba tuu, lakini tukiisha fanikiwa, tunatabia ya kujisahau, haturejei kushukuru na wala hatukumbuki fadhila na kuwa na shukrani, naomba mimi nionyeshe tofauti kwa kurejea humu kushukuru.
Mimi nilikuja kwenu humbly kuomba msaada wenu, Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
na kweli nimesaidiwa, na nimefanikiwa, sasa narejea kwenu kwa unyenyekevu tena kushukuru kuhusu lile "jambo langu jambo letu".
Licha ya vikwazo kadhaa vidogo vidogo vya hapa na pale, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari, asanteni sana kwa sala zenu na michango yenu, sala zenu na michango yenu imewezesha, nimefanikiwa kwa asilimia 100 % kutimiza lengo kusudiwa la kuianza safari Ila sala na moral support bado inahitajika sana katika muendelezo Hadi jambo letu litimie. Mungu Nisaidie!
Mwanzo siku zote ndio huwa mgumu, sala zenu na support zimesaidia sana katika hatua hii ya mwanzo ila huko mbele tunakokwenda, kama tumeanza vizuri, then mbele ni msesereko tuu!. Tumeanza na Mungu, tunaenenda na Mungu na tutamaliza na Mungu.
Juzi ndio juzi, yaani, juzi was the day ya kulianza ile safari ya lile Jambo, letu!. Juzi ndio ile siku nimeianza ile safari ya lile jambo letu lile!.
Japo nimeianza safari kwa vikwazo vidogo vya hapa na pale, lakini nimekamilisha hatua ya kwanza japo kwa mbinde!. Tulikotoka ni kurahisi, tunakwenda ni mbali na kugumu zaidi, hivyo nakuomba keep praying for me, ungana nami morally, to offer me your unconditional support kwa kujitolea will power yako, tuunganishe nguvu, join forces za will powers za wengine wenye mapenzi mema na taifa hili, to produce a gigantic power of forces of will, that will make things happen!. Mungu Nisaidie!
JF ilipoanzishwa, na Mkuu Max Ile 2006, was meant to be a home of Great Minds, lakini kwa vile watu hatulingani, kuna simple minds, kuna ordinary minds na kuna great minds, vivyo hivyo, humu JF tuko watu wa aina zote, simple minds wanao discuss people, ordinary minds wanao discuss events na great minds hawa wana discuss ideas, wote tuko humu na tumekuwa accommodated.
Bado silitaji hili jambo langu, na all ma GT wameisha lielewa na hawalisemi.
Wale wenzangu na mimi Ma Ordinary minds wao watalizungumzia as an event!, nawaomba hata kama wewe ni mmoja wa ordinary minds, kama unajihisi unalijua, hilo jambo langu, nakuomba jifanye GT kwa kutolisema!.
Na wale simple minds ambao kazi yao is to discuss people, I beg you, don't discuss people, hapa usimjadili mtoa mada, muombee tuu afanikiwe katika jambo letu.
Japo siamini katika uwepo wa nguvu za giza ila kiukweli nguvu za giza zipo, they exist in reality and to those who believes them, they can act on you and destroy your dreams!. Even if you don't believe them, kwa vile hizi nguvu zipo, they can act on you, zikakukumba na kukutandika, na kukukwamisha kwa kukuchelewesha, tuu lakini haziwezi kuzuia!. Kama jambo letu, limepangwa na YEYE, then ni limepangwa na litatimia!.
Kwa vile mimi ni mtu wa ma story, kama wewe sio mtu wa mastory mastory, then ishia hapa!, kama wewe ni mtu wa mastory, endelea...
Sikiliza hiki ni kisa cha kweli kilichotokea juzi na jana kuhusiana na jambo letu hili!.
Kitendo cha kusafiri huku nimetinga sare za chama, mwanzo kulinipa taabu maana zamani kuvaa sare za chama ilikuwa aibu, hivyo nikawa naona soo!.
Kumbe kusafiri na sare za chama sasa ni opposite, badala ya aibu ni advantage!.
Kwanza kufika airport nikapokelewa kama Mheshimiwa walidhani mimi ni Mheshimiwa Mbunge, hivyo ule ukaguzi wa vua mkanda, vua viatu huo uliniepuka.
Kufika eneo la boarding area, nikapelekwa Tanzanite lounge, na baada ya ku board yule flight attendant hakubodha kuangalia boarding pass yangu, tiketi yangu ni economy, ila kufuatia sare niliovaa nikawa upgraded to Business Class!. Makamuzi yakaanzia kwenye ndege!.
Kufika Songwe napokelewa na kupelekwa VIP, kule nikakutana na Mawaziri, RC na wakubwa, hivyo nami kuonekana kama mkubwa fulani huku nikiitwa Mheshimiwa!. Hivyo ndugu zangu, pamoja na ule mwanzo mgumu, wa safari hii, hizi sasa ni dalili nzuri za kufunguka kwa njia hivyo kwa sasa, mwendo ni msesereko tuu wa praaaaa mpaka Maka!.
Paskali - 0754 270403
Mkuu nimetimiza ahadi yangu.Wanabodi,

Mkuu masopakyindi , asante sana sana sana, kwa mchango wako, mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "money mystical", ambapo the magic powers lies with the giving heat and not the amount donated!. Thanks for your kind donation, na wengine ambao mtependa kunichangia mimi mtumishi wenu, number ya kuchangia ni hiyo hapo chini. Zoezi la kuchukua fomu tumefika watu 200 waliochukua fomu, bado sijajua idadi ya waliorudisha nadhani itatangazwa kesho asubuhi ila I'm very optimistic with very high spirit.Mkuu nimetimiza ahadi yangu.
Nikutakie kila la heri.
Wanabodi,
Ukiwa na jambo lako, ukaomba msaada wa usaidizi kwa public ili usaidiwe, the public ulioomba msaada ika respond positive, ukasaidiwa kwa michango ya hali na mali, baadhi yetu ni huwa wanyenyekevu wakati wa kuomba tuu, lakini tukisha fanikiwa, tunatabia ya kujisahau. Haturejei kushukuru na wala hatukumbuki fadhila na kuwa na shukrani, naomba mimi nionyeshe tofauti kwa kurejea humu kushukuru.
Mimi nilikuja kwenu humbly kuomba msaada wenu, Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
na kweli nimesaidiwa, nimefanikiwa na sasa narejea kwenu kwa unyenyekevu tena kushukuru kuhusu lile "jambo langu jambo letu".
Licha ya vikwazo kadhaa vidogo vidogo vya hapa na pale, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni sana kwa sala zenu na michango yenu. Sala zenu na michango yenu vimewezesha, nimefanikiwa kwa asilimia 100% kutimiza lengo kusudiwa la kuianza safari. Ila sala na moral support bado vinahitajika sana katika muendelezo hadi jambo letu litimie, Mungu nisaidie!
Mwanzo siku zote ndio huwa mgumu, sala zenu na support zimesaidia sana katika hatua hii ya mwanzo ila huko mbele tunakokwenda, kama tumeanza vizuri, then mbele ni msesereko tuu! Tumeanza na Mungu, tunaenenda na Mungu na tutamaliza na Mungu.
Juzi ndio juzi, yaani juzi was the day ya kuanza ile safari ya lile Jambo letu! Japo nimeianza safari kwa vikwazo vidogo vya hapa na pale, lakini nimekamilisha hatua ya kwanza japo kwa mbinde! Tulikotoka ni kurahisi, tunakwenda ni mbali na kugumu zaidi, hivyo nakuomba keep praying for me. Ungana nami morally, to offer me your unconditional support kwa kujitolea will power yako, tuunganishe nguvu, join forces za will powers za wengine wenye mapenzi mema na taifa hili to produce a gigantic power of forces of will, that will make things happen! Mungu nisaidie!
JF ilipoanzishwa, na mkuu Max Ile 2006, was meant to be a home of great minds, lakini kwa vile watu hatulingani kuna simple minds, kuna ordinary minds na kuna great minds. Vivyo hivyo, humu JF tuko watu wa aina zote, simple minds wanao discuss people, ordinary minds wanao discuss events na great minds hawa wana discuss ideas, wote tuko humu na tumekuwa accommodated.
Bado silitaji hili jambo langu, na all ma GT wameisha lielewa na hawalisemi. Wale wenzangu na mimi ma ordinary minds wao watalizungumzia as an event! Nawaomba hata kama wewe ni mmoja wa ordinary minds, kama unajihisi unalijua, hilo jambo langu, nakuomba jifanye GT kwa kutolisema! Na wale simple minds ambao kazi yao is to discuss people, I beg you, don't discuss people, hapa usimjadili mtoa mada, muombee tuu afanikiwe katika jambo letu.
Japo siamini katika uwepo wa nguvu za giza ila kiukweli nguvu za giza zipo, they exist in reality and to those who believes them, they can act on you and destroy your dreams! Even if you don't believe them, kwa vile hizi nguvu zipo, they can act on you, zikakukumba na kukutandika, na kukukwamisha kwa kukuchelewesha tuu lakini haziwezi kuzuia! Kama jambo letu limepangwa na yeye, then ni limepangwa na litatimia!
Kwa vile mimi ni mtu wa ma story, kama wewe sio mtu wa mastory mastory then ishia hapa! Kama wewe ni mtu wa mastory, endelea...
Sikiliza, hiki ni kisa cha kweli kilichotokea juzi na jana kuhusiana na jambo letu hili!
Kitendo cha kusafiri huku nimetinga sare za chama mwanzo kulinipa taabu, maana zamani kuvaa sare za chama ilikuwa aibu hivyo nikawa naona soo. Kumbe kusafiri na sare za chama sasa ni opposite, badala ya aibu ni advantage. Kwanza kufika airport nikapokelewa kama Mheshimiwa, walidhani mimi ni Mheshimiwa Mbunge, hivyo ule ukaguzi wa vua mkanda, vua viatu huo uliniepuka.
Kufika boarding area nikapelekwa Tanzanite lounge, na baada ya ku-board yule flight attendant hakubodha kuangalia boarding pass yangu, tiketi yangu ni economy, ila kufuatia sare niliovaa nikawa upgraded to Business Class, makamuzi yakaanzia kwenye ndege!
Kufika Songwe napokelewa na kupelekwa VIP, kule nikakutana na Mawaziri, RC na wakubwa, hivyo nami kuonekana kama mkubwa fulani huku nikiitwa Mheshimiwa. Hivyo ndugu zangu, pamoja na ule mwanzo mgumu wa safari hii, hizi sasa ni dalili nzuri za kufunguka kwa njia, sasa mwendo ni msesereko tuu wa praaaaa mpaka Maka!
Paskali - 0754 270403
Umeamua kumpa ukweliPascal ni kweli unahitaji maombi. Lemutuz aliandika in kwamba alitoa 10m ili jina lake liwe shortlisted. Mwisho wa siku akashindwa.
Wewe inaonekana Sio mtoa rushwa, kukuzungusha kote huko inaonekana walitaka rushwa otherwise maelezo yote wangekupa upfront. Kweli unahitaji maombi ya wadau, kutoboa.
Hongera safari yako izae matundaWanabodi,

Amen.Hongera safari yako izae matunda
Japo kuna mazingira fulani fulani huwa nakata business class Ila sio kwa zile pangaboi!. The difference between business class na economy ni pazia tuu!.Reading between the lines! Sitaki kuamini kuwa ulikata economy class, kutokana na umuhimu wa jambo lile
Japo nimefanya kozi ya strategic planning and thinking lakini kiukweli siko ki strategic kihivyo.Akili yangu inaniambia kwamba itakuwa uliamua kukata tiketi ya business class kwa sababu maalum + jezi ya chama+ uwepo wa Raisi mbeya + waambata wake na makada + kampuni yako ppr ndivyo media partner wa tbc kwenye nanenane hapa uliitumia akili kwa fursa hii adhimu ili kuwapa attention kuhusu wewe siku ya mchujo. Hapa uliitumia akili kubwa kuhusu lile jambo lako