Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

Hongera kaka Mayalla,me nakuombea maana naweza kuwa katibu wako.

Enjoy hapo, hapo ndo mitaa yetu.Hapo pamenilea.

Chips nilizokula hapo ni nyingi mnooo,pole kwa vumbi la hapo.
Nimepamiss sn hapo,nimeimiss nanenane Mbeya.
Aliwahi kupata sifuri yenye masikio , usimwamini sana , hana watu
 
Hongera kaka Mayalla,me nakuombea maana naweza kuwa katibu wako.
Mkuu tamuuuuu, asante, na kufuatia jina lako, amini nakuambia yako itakuwa hivyo!, hivyo kazi umepata!.
Enjoy hapo, hapo ndo mitaa yetu.Hapo pamenilea.

Chips nilizokula hapo ni nyingi mnooo
Kumbe wewe ni wa huku?. Mimi nayapenda sana maharage Mbeya, ni matamu, malaini, yakipikwa yanaiva upesi kwa kuwekewa maji mara moja tuu, kwisha kazi, wewe ni kujilia tuu!
,pole kwa vumbi la hapo.
Nimepamiss sn hapo,nimeimiss nanenane Mbeya.
Safari hii hakuna vumbi, kila usiku wana mwaga maji. Tatizo kubwa kwangu ni baridi ya Mbeya!, usiku na asubuhi na jioni kuna baridi kali ajabu linapenya hadi blangeti, naomba utumie uenyeji wako wa Mbeya kuhakikisha sipigwi baridi kwa kunitumishia blangeti la ziada ili baridi hii isiniue.
P
 
Hongera sana mkuu
 
Mungu ni mwema utatoboa mkuu, japo stori yako imenichekesha ila inonyesha ndani ya nchi yeti mambo yanavyokuwa na urasimu...
 
Obovu wako ndugu hujui kufupisha maneno, sometimes it becomes too boring
 
Mkuu nimetimiza ahadi yangu.
Nikutakie kila la heri.
 

Attachments

  • IMG-20220811-WA0042.jpg
    59.6 KB · Views: 9
Kila la heri kaka...
Katika safari yako hiyo huwezi kutoka kapa ... Trust me..
Hata hapa ulipo fika kwa sasa unaona mwenyewe.. GODBLESS U
 
Mkuu nimetimiza ahadi yangu.
Nikutakie kila la heri.
Mkuu masopakyindi , asante sana sana sana, kwa mchango wako, mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "money mystical", ambapo the magic powers lies with the giving heat and not the amount donated!. Thanks for your kind donation, na wengine ambao mtependa kunichangia mimi mtumishi wenu, number ya kuchangia ni hiyo hapo chini. Zoezi la kuchukua fomu tumefika watu 200 waliochukua fomu, bado sijajua idadi ya waliorudisha nadhani itatangazwa kesho asubuhi ila I'm very optimistic with very high spirit.

Nimejipanga kuendelea kuwa mtu wa Nyerere type, naamini kiongozi mzuri ni yule anayechaguliwa kwa kukidhi sifa na vingezo na sio ukwasi, fedha au utajiri.
Asante tena na tena
Mungu Nisaidie niyaweze yote katika YEYE anitiaye nguvu.
Paskali
 

Pascal ni kweli unahitaji maombi. Lemutuz aliandika in kwamba alitoa 10m ili jina lake liwe shortlisted. Mwisho wa siku akashindwa.

Wewe inaonekana Sio mtoa rushwa, kukuzungusha kote huko inaonekana walitaka rushwa otherwise maelezo yote wangekupa upfront. Kweli unahitaji maombi ya wadau, kutoboa.
 
Umeamua kumpa ukweli

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Reading between the lines! Sitaki kuamini kuwa ulikata economy class, kutokana na umuhimu wa jambo lile, Akili yangu inaniambia kwamba itakuwa uliamua kukata tiketi ya business class kwa sababu maalum + jezi ya chama+ uwepo wa Raisi mbeya + waambata wake na makada + kampuni yako ppr ndivyo media partner wa tbc kwenye nanenane hapa uliitumia akili kwa fursa hii adhimu ili kuwapa attention kuhusu wewe siku ya mchujo. Hapa uliitumia akili kubwa kuhusu lile jambo lako

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Hongera safari yako izae matunda
 
Mungu akakutendee sawasawa na mapenziyake.
 
Reading between the lines! Sitaki kuamini kuwa ulikata economy class, kutokana na umuhimu wa jambo lile
Japo kuna mazingira fulani fulani huwa nakata business class Ila sio kwa zile pangaboi!. The difference between business class na economy ni pazia tuu!.
Siku hiyo nilikata economy, nika businesshishwa kutokana na sare!.
Japo nimefanya kozi ya strategic planning and thinking lakini kiukweli siko ki strategic kihivyo.
P.

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…