Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu.
1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo.
2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana.
3: Aziz Ki kasepa na pesa yote mpaka ya pre season.
4: Mpole kuwa mfungaji bora.
5: Sopu kuwapiga magoli matatu peke yake
6: Manara kupigwa bani ya miaka miwili.
7: Sakho kuibuka kidedea goli bora la caf 2021/22.
8: usajili wa Bernard Morrison.
9: kambi ya simba Misri.