Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

Wakat yanga akitaka kufikia level za simba kwa kutaka kushndana nae..Simba yeye yupo level nyingine za juu ambazo zitamchukua yanga nusu karne kuzifikia...mwachen tu ajitututmue kwa mkubwa wake..ndo raha yao hyo
 
kolo's tunaanza kuwazagamua mwezi ujao hapo kwenye ngao ya jamii na pira lenu la kwenye media
20220521_002908.jpg
 
Ukweli rahisi ni kua Yanga atashinda Tena ligi ya msimu ujao ni kweli Mayele hakushinda tuzo ya mfungaji Bora lakini still ni Bora kuliko huyo mpole muda utaongea hata wewe ukiambiwa uchague mchezaji mmoja Kati ya Mayele na mpole najua unajua utamchagua Nani.

Tusubiri msimu uanze ndo watu watajua who is Mayele..! Simba Kuna tatizo somewhere lakini kwa sababu za kishabiki kolozi watabisha....
Mayele tushapiga misumali miguu,akifikisha gori kumi njoo jiue nipo hapa jangwani klabuni
 
Unaambiwa 'Wezi Wa Magari Wamehamia Utopolo, Yupo mmoja Ilishindikana Kwenda kupambania timu na Orlando'.....!
Na Kwamba Eti Msukule naye aliwahi kutuhumiwa Wizi Wa Magari huko nyuma....
 
Back
Top Bottom