Tetesi: Lies, intrigue, betrayal: How Ivan Ssemwanga lived out his last days on earth?

Kuna sheria inaruhusu mwanamke kuwa na mume zaidi ya mmoja at the same time???
 
May his soul rest in peace
Zari hana njaa za kijinga she is only concern na watoto wake
 
Kuna sheria inaruhusu mwanamke kuwa na mume zaidi ya mmoja at the same time???
Sikumbuki kuelezea uhalali wa ndoa yoyote lakini bila kusoma upya post yangu nakumbuka nimezungumzia suala la mirathi na mapana yake!!!! So, swali lako linatokana na post yangu or is just a general question?!
 
Mkuu angelina jolie alifanya private settlement obviously pesa inakua involved kwenye settlement
Asante kwa somo! Hatuelewi na tumekuwa wepesi sana wa kuhukumu na kutolea ufafanuzi vitu ambavyo havituhusu wala hatuna ujuzi navyo!!
 

Nakubaliana na wewe coz haiwezekani ndugu wakawa na uchungu kuliko mama wa hao watoto (zari), ndugu wanaweza kupewa mali za watoto, na watoto wasije kukuta kitu
 
Hajakosea!!! Watoto watatu!? Kisherie urithi utaenda kwa watoto... Ila bado ni wadogo so mama atasimamia
mama hawezi kusimamia kwa sababu sio mke wake bali watamchagua ndugu wa marehemu ambaye atasimamia mahitaji ya watoto kumbuka hapo pia kuna malezi ya watoto msimamizi anahitajika not a third person rather,pia hatujui km waliachana 'rasmi' ila km sivyo Zari atakua a third person hapo.
 
Watu wenye akili ndogo mara zote hushupalia kuongelea watu.
R.I.P Ivan na kwako Zari fight hao maharamia wote.
 
Kifo kinatufundisha kuwa hata kama uwe nani ipo siku utakufa.
Tuishi tukimpendeza Mungu
 
hivi ataweza kuhudumia vile yule baba alivyokua analea wanawe...?!!

yaani mimi nawawazia wale watoto tu!!maisha yao yalikua ya gharama mnoo
na yale maisha waliyozoeshwa na baba yao
 
Mali zitayeyuka zote wala wasigombee ataanza na nyoka akishakufa tu na hela zinapotea.
Mali zake ni za ushirikina kwani? mbona baba ake ivan amesema mali zao ni za ukoo na ukoo toka mababu wao ni matajiri ata ukimchanja mkono ni pesa tu zinatoka badala ya damu
 
umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…