Mr disprin
Senior Member
- Jan 16, 2018
- 197
- 88
Hizi tukuyu lakini si nyingi sana njoo mbeya nikupeleke uko tutafute .ndo muda wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sisi tumejiajiri kwenye kilimo kama kweli wewe umepata soko basi aanza kutengeneza mazingira, sisi tuingie shambabi wewe kazi yako kubeba mzigo.Nahitaji kujua hii aina ya karanga nitaipata wapi na bei yake kwa kilo ama hata kwa tani..ahsanteView attachment 725932View attachment 725933
Sehem ganiArusha ziko tele
Labda Brazil, Australia au Hawaii siyo bongo land mkuu.Maana niliwahi kuziona mahali
Mhmmmm Wilaya gani mkuu?Kwa hapa Tanzania unaweza kupata pia mkoa wa Kilimanjaro!
Zinaitwa makadamiaZinaitwaje mkuu tusaidie kuelewa na sisi wengine ambao ndio tunaziona
Nilimuona mama mmoja katika kipindi nadhani ITV alikuwa anahojiwa, yeye kapanda miche yake mingi anavuna na kuuza kwa wingi anapatikana Kagera ila sikujua ni kijiji ganiKaranga hizo zinaitwa "MACADAMIA NUTS" zinapatikana kwa wingi Brazil
Bongo zipo tena kuna mama wa huko kwenu Kagera nilimuona analima hizo huko KageraLabda Brazil, Australia au Hawaii siyo bongo land mkuu.
mi mpaka sasa bado nabamba nazo...hata nkifika 70 miaka ntakuwa nazo tuHalafu juzi nikiwa naperuzi channels nikaona the meltdown
Nikakumbuka huu uzi
Yaani mtu huzeeki kwa cartoons
Mnyakyusa anachanganya mambo MACADAMIA NUTS sio NDIRORO!!!Hizo zipo Tukuyu mbeya...kule watoto wanachezea tu hatujuagi kama ni biashara
Ahsante mkuu kwa taarifa. Tafadhari sana nielekeze ni kwetu sehemu gani maana nami nazihitaji sanaBongo zipo tena kuna mama wa huko kwenu Kagera nilimuona analima hizo huko Kagera