Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Hizi tukuyu lakini si nyingi sana njoo mbeya nikupeleke uko tutafute .ndo muda wake
 
Hiyo miti ya macadamia aka karanga miti Ruvuma wilaya ya Mbinga zipo ila huu sio msimu wake.
 
Zinaitwa macadamia nuts. Nimeziona sehemu moja huko tanga, lushoto, bumbuli, kata ya mamba, eneo la sakharani. Zina mafuta mazuri sana. Very expensive. Pia ni tiba mujarabu. Naweza kukupatia ikipenda.
 
Karanga hizo zinaitwa "MACADAMIA NUTS" zinapatikana kwa wingi Brazil
Nilimuona mama mmoja katika kipindi nadhani ITV alikuwa anahojiwa, yeye kapanda miche yake mingi anavuna na kuuza kwa wingi anapatikana Kagera ila sikujua ni kijiji gani
 
Back
Top Bottom