Nta
Ntakuja na ratiba nini napend nile...!alafu bi mdashi wangu ameniambia huko kuna hossy nzuri ya misheni ya masisita?!ni kweli!nasumbuliwa ulcers hatari!anaisifia balaa..ni kweli ipo?
Pole sana best sasa nimejua kwa nini hupendi kundez, sijui anazungumzia ipi hasa ila kuna hos moja ya wazungu wajerumani iko momela mama yangu nae aliponea hapo. Muulize hiyo iko pande gani
[emoji23]
Ni kijiji jirani na Arusha national park, hata national park yenyewe wenyeji wanazoea kuita momela national park. Utakuwa umeelewa sasa siyo?😅😅
😅😅😅!asante...ngoja nimuulize!momela iko wap !mbn jina geni
Nitajaribuukila haitakiwi uwe jirani na mtu, maana unaweza aibika,, labda kwa wazoefu huwa wanapumulia ndani kwa ndani
Ni kijiji jirani na Arusha national park, hata national park yenyewe wenyeji wanazoea kuita momela national park. Utakuwa umeelewa sasa siyo?
Lini ccm itatoka madarakani ?Likizo time
Tujadili Mambo Mambo ya nyumbani
Vyakula,sabuni nzuri za chooni,kufulia ,kuogea etc
Dawa za meno
Sex
Watoto
Mambo ya sokoni
Kila kitu
Uliza chochote au shauri chochote .
Una uhakika huyo binadamu ni mwanamke ?Je wewe ni mwanamke wa namna ipi?
120% ni mwanamke mkuuUna uhakika huyo binadamu ni mwanamke ?
Naomba niwe nakuoshea vyombo na ikiwezekana hata wewe niwe nakuogesha inapobidiChakula ( vya) gani unapendelea sana, na chakula gani uwa unakula ili mradi tu usife?
Me napenda wali maharage + chugumawe + kachumbari
Ndizi nyama
Ugali maini, nyama choma au ugali rosti la dagaa wa mwanza.
Chakula nachokula ili nisife ni tambi.
Fav drinks wine, juice, yoghurt ' vipi wewe?
Matunda nakula yote kasoro fenesi -
Napenda kupika ila sipendi kuosha vyombo ' vipi wewe?
Aah nimechoka kuandika....!!
Khaaaah!! Mwalimu haya maelekezo sasa[emoji134][emoji134][emoji134]Mie ni mpenzi sana sana wa madiko diko miss natafta!..kuna hotel moja nilikula mchicha wao[emoji39][emoji39]..ukanibariki sana huo mchicha..leo nimeupika!
Kaanga km unavyokaanga mchicha wako..ila ukiepua ndo unaweka vitunguu vyako sasa..viwe vingi..jaman kitu kinatoka na ladha ya ajabu!
Likizo tym!
Bora wewe hupendi kuosha vyombo tu, mie sipendi kazi yoyote.Chakula ( vya) gani unapendelea sana, na chakula gani uwa unakula ili mradi tu usife?
Me napenda wali maharage + chugumawe + kachumbari
Ndizi nyama
Ugali maini, nyama choma au ugali rosti la dagaa wa mwanza.
Chakula nachokula ili nisife ni tambi.
Fav drinks wine, juice, yoghurt ' vipi wewe?
Matunda nakula yote kasoro fenesi -
Napenda kupika ila sipendi kuosha vyombo ' vipi wewe?
Aah nimechoka kuandika....!!
Yakiwekwa kwenye kande ni[emoji108]
Yakiwekwa kwenye kande ni[emoji108]
atleast nimeanza pata picha ya kimo chako
Haha karibuNaomba niwe nakuoshea vyombo na ikiwezekana hata wewe niwe nakuogesha inapobidi
Jizazi...ndio nalinganaje sasaatleast nimeanza pata picha ya kimo chako
Asante kwa ufafanuzi mkuu120% ni mwanamke mkuu
haswaaaaaaaKipotabo
Tuanze lini?Haha karibu