Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Nta

Ntakuja na ratiba nini napend nile...!alafu bi mdashi wangu ameniambia huko kuna hossy nzuri ya misheni ya masisita?!ni kweli!nasumbuliwa ulcers hatari!anaisifia balaa..ni kweli ipo?

Pole sana best sasa nimejua kwa nini hupendi kundez, sijui anazungumzia ipi hasa ila kuna hos moja ya wazungu wajerumani iko momela mama yangu nae aliponea hapo. Muulize hiyo iko pande gani
 
😅😅
Pole sana best sasa nimejua kwa nini hupendi kundez, sijui anazungumzia ipi hasa ila kuna hos moja ya wazungu wajerumani iko momela mama yangu nae aliponea hapo. Muulize hiyo iko pande gani

😅😅😅!asante...ngoja nimuulize!momela iko wap !mbn jina geni
 
Chakula ( vya) gani unapendelea sana, na chakula gani uwa unakula ili mradi tu usife?

Me napenda wali maharage + chugumawe + kachumbari
Ndizi nyama
Ugali maini, nyama choma au ugali rosti la dagaa wa mwanza.
Chakula nachokula ili nisife ni tambi.

Fav drinks wine, juice, yoghurt ' vipi wewe?
Matunda nakula yote kasoro fenesi -

Napenda kupika ila sipendi kuosha vyombo ' vipi wewe?

Aah nimechoka kuandika....!!
Naomba niwe nakuoshea vyombo na ikiwezekana hata wewe niwe nakuogesha inapobidi
 
Mie ni mpenzi sana sana wa madiko diko miss natafta!..kuna hotel moja nilikula mchicha wao[emoji39][emoji39]..ukanibariki sana huo mchicha..leo nimeupika!
Kaanga km unavyokaanga mchicha wako..ila ukiepua ndo unaweka vitunguu vyako sasa..viwe vingi..jaman kitu kinatoka na ladha ya ajabu!
Likizo tym!
Khaaaah!! Mwalimu haya maelekezo sasa[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Chakula ( vya) gani unapendelea sana, na chakula gani uwa unakula ili mradi tu usife?

Me napenda wali maharage + chugumawe + kachumbari
Ndizi nyama
Ugali maini, nyama choma au ugali rosti la dagaa wa mwanza.
Chakula nachokula ili nisife ni tambi.

Fav drinks wine, juice, yoghurt ' vipi wewe?
Matunda nakula yote kasoro fenesi -

Napenda kupika ila sipendi kuosha vyombo ' vipi wewe?

Aah nimechoka kuandika....!!
Bora wewe hupendi kuosha vyombo tu, mie sipendi kazi yoyote.
 
Back
Top Bottom