Nasikiaga inasifiwa hii kituOoops!umewah kula kande la mahindi mabichi ww na maharahe mabicbhi๐!
Jizazi ๐ ๐ ๐Jizazi...ndio nalinganaje sasa
Next weekTuanze lini?
Nafight mpaka January ziwe 60+Kipotabo
Ni jike la mbegu huyu mkuu. Usiwe na mashaka nae kama umemuelewa mzamie ndichoAsante kwa ufafanuzi mkuu
siku zote nilikuwa najua huyo binadamu ni dume la mbegu
Ukitaka Nile nimenuna pika kunde, kipindi nakuwa nilikuwa siwezi kula njugumawe ila sahii nazibutua hatari hatariAh wap..nimegundua mie mbogs jamii ya kunde sizipendi .sijui manjugumawe, sijui kunde, sijui choroko eish!bora nilale njas
Wacha uvivu Dada...kumbe ndio maana huko mlaini mlaini sanaBora wewe hupendi kusha vyombo tu, mie sipendo kazi yoyote.
Sijawahi kula lenye maharage mabichi bali yenye choroko+njugu mawe[emoji39][emoji39][emoji39]Ooops!umewah kula kande la mahindi mabichi ww na maharahe mabicbhi[emoji39]!
Mlaini[emoji134][emoji134][emoji134]Wacha uvivu Dada...kumbe ndio maana huko mlaini mlaini sana
akufukuzae hawezi kukwambiaNafight mpaka January ziwe 60+
Wakati wa kufua nail cutter inafanya kazi yake.... Sipendagi kujiumiza kwa namna yoyote ileNa zile kucha zako ndefu haziharibik kwer jaman......!!!
Kucha zangu mie laini kila nikifua zinakatika tu zenyewe na ukizingatia ndio nafua kila siku. Basi nashindwa kuzifuga, ila napenda sana kucha ndefu ila sio za kubandika.Wakati wa kufua nail cutter inafanya kazi yake.... Sipendagi kujiumiza kwa namna yoyote ile
Uko mlaini mno ๐๐๐Mlaini[emoji134][emoji134][emoji134]
I wish.
Unamaanisha? Naona umeanza kuiga tabia mbofu za Depal ๐๐akufukuzae hawezi kukwambia
utamuona tu matendo yake
Dah! Miaka buku siweki hayo mazaga na mwenzake makope...Kucha zangu mie laini kila nikifua zinakatika tu zenyewe na ukizingatia ndio nafua kila siku. Basi nashindwa kuzifuga, ila napenda sana kucha ndefu ila sio za kubandika.
yaaaaniiiii..... ๐คญ๐คญ๐คญUnamaanisha? Naona umeanza kuiga tabia mbofu za Depal ๐๐
๐ช depal mama lao ๐ชDah! Miaka buku siweki hayo mazaga na mwenzake makope...
Acha hizoyaaaaniiiii..... ๐คญ๐คญ๐คญ
๐๐๐๐ช depal mama lao ๐ช
Hapana mkuuNi jike la mbegu huyu mkuu. Usiwe na mashaka nae kama umemuelewa mzamie ndicho