Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Ah wap..nimegundua mie mbogs jamii ya kunde sizipendi .sijui manjugumawe, sijui kunde, sijui choroko eish!bora nilale njas
Ukitaka Nile nimenuna pika kunde, kipindi nakuwa nilikuwa siwezi kula njugumawe ila sahii nazibutua hatari hatari
 
Wakati wa kufua nail cutter inafanya kazi yake.... Sipendagi kujiumiza kwa namna yoyote ile
Kucha zangu mie laini kila nikifua zinakatika tu zenyewe na ukizingatia ndio nafua kila siku. Basi nashindwa kuzifuga, ila napenda sana kucha ndefu ila sio za kubandika.
 
Kucha zangu mie laini kila nikifua zinakatika tu zenyewe na ukizingatia ndio nafua kila siku. Basi nashindwa kuzifuga, ila napenda sana kucha ndefu ila sio za kubandika.
Dah! Miaka buku siweki hayo mazaga na mwenzake makope...
Paka hennah zitapunguza kukatika, me za miguuni ndio laini .....unafua kila siku? Duh hongera mwaya 😘 kufua kipaji
 
Back
Top Bottom