Life after Death: What happens after death?

Life after Death: What happens after death?

Ufufuo ni habari mpya alizokuja nazo Yesu na baadaye kuthibitishwa na Muhammad s.a.w ila maisha baada ya kifo hayajafafanuliwa sana na kilichowazi ni kwamba kifo ni usingizi hadi ufufuo. Baada ya huo wale wabaya wataharibiwa kwa moto na sayari yao kukunjwakunjwa kama karatasi na kutupiliwa mbali. Wema watabakia, na mbingu mpya na nchi mpya vitashuka toka mawinguni na makao ya mungu yatakuwa pamoja na wanadamu. Lipi ni lipi kati ya watu wema kupaishwa hadi mbinguni kuishi na mungu au mungu kushusha makao kuishi na wanadamu sioni kama ni muhimu ili mradi zawadi ya mwisho ni ileile ya wema kuwa na makao ya milele na mungu. Kutakuwepo na kipindi watu wataoa na kuzaa watoto lakini kipindi hicho nacho kitakuja kukoma pale makusudi ya awali ya mungu yatakapokuwa yametimizwa. Raha zitakuwa nyingi lukuki na wala kukoma uzazi haitakuwa ni kasoro na wala sidhani itakuwa ndio ukomo pia wa watu kujamiiana. Hapo nimetia akili yangu mwenyewe kidogo baada ya kulitafakari vizuri lile kusudi lililo kuu la mungu. Kusema ufufuo ni habari mpya sio mawazo yangu chunguza agano lote la kale uone kama kuna nabii aliyekuwa anaongea habari za siku ya hukumu au kiama si Daud, Musa, Yoshu, Ibrahimm, nk. ambae alitaraji kwenda moja kwa moja mikononi mwa mungu au ndani ya himaya yake. Wote waliamini mwisho wa yote ni kaburi.
 
every living thing must come to the end of its life, that's is form 1 biology!!!! no brainer!!!! after death ur going no where my dear ur done!!!!!
 
Idadi ya watu kuwa takribani.mil.45 je mapato ya nchi kwa mwaka pacpo utegemezi ya misaada yanaridhisha!!!?
 
Quran has got nobody who has experienced death and rise again.[/QU kwa uhakika hata yesu hakufa kilichofanyika mungu aliwababaisha kwa kumchukua mmojawapo katika lile kundi lililomfuata kumuua na akamfananisha na yesu wakamchukua yeye na kumuua ndo maana baada ya lile tukio walijikuta wamepungu yesu alipaishwa mzima mzima mbinguni ndo maaana hata ukisoma katika Marko yohana Mathayo kuhusu mariamu mama yake na mariamy magdalena na yule mariam wa 3 wakati walipoelekea kaburini kwake story zinatofautiana kila mmoja anaeleza lile tukio kivyakeeeee kwa sababu tangu tarehe hiyooo watu walianza kubabaika kwa leo ngija niishie hapo kwanza
 
kitu ambacho yatupasa tuahamu ni kuwa spirit haifi milele kifacho ni huu mwili lakini roho haifi itaishi milele na milele, kwa tunaoamini Mungu tunaamini baada ya kifo ni hukumu na utaishi milele mbinguni paradiso au motoni jehanamu. Ukitaka kujua roho inavyoishi tafakari ndoto zako utagundua nikama maisha yanaendelea ukiwa unata na unafeel maumivu na furaha. Mfano mwingine ni mapepo yale ni roho zinazoishi zina feeelings kama binadamu lakini hazionekani.

Kwa uchache nawakilisha!
 
kitu ambacho yatupasa tuahamu ni kuwa spirit haifi milele kifacho ni huu mwili lakini roho haifi itaishi milele na milele, kwa tunaoamini Mungu tunaamini baada ya kifo ni hukumu na utaishi milele mbinguni paradiso au motoni jehanamu. Ukitaka kujua roho inavyoishi tafakari ndoto zako utagundua nikama maisha yanaendelea ukiwa unata na unafeel maumivu na furaha. Mfano mwingine ni mapepo yale ni roho zinazoishi zina feeelings kama binadamu lakini hazionekani.

Kwa uchache nawakilisha!
 
mkuu jaribu kuangalia maana ya neno 'KUFA' vizuri halafu urudi tena
 
Binadamu anazaliwa mara moja, anaishi mara moja na kufa mara moja tu. Chochote nje ya hapo hakipo labda uwe unaamini katika vitabu vya stori vya waarabu na wayahudi ambavyo wengine humu huviita "vitakatifu".
 
Maandiko matakatifu yanasema
kila nafsi itonja mauti na kuna maisha baada ya kifo,Kwani tunaambia
mwana wa adamu atashuka kutoka mawinguni na wafu watafufuka naye atakuja
kuwachagua wema na waovu kutokana na matendo yao.

Na baada ya kifo inamaana ile pumzi aliyopuliziwa binadamu inatengana na
mwili na kushuka kuzimu ikiwa haina ufahamu tena na wala hakuna mateso
yeyote mtu atakayeyapata baada ya kufa hadi pale parapanda ya mwisho
itakapolia ambayo itawafufua wale wote waliyo kufa na waliosalia hai
wale wenye dhambi wote watakufa na wale wasiyo na dhambi watabadilishwa
mwili wa kibinadamu na kuvalishwa mwili mpya na hapo ndipo yesu
atakapowaambia karibu kwangu wanagu wazuri nilikwenda kuwandalia makao
na sasa nimekuja kuwaachukua, OOOOOH HALELUJAH......

Na tofauti ya ufufuo ni miaka 1000 biblia inatuambia kati wale
waliyofufuliwa wasiyo na dhambi na wale waliokufa wakiwa na dhambi,Na
mambo yote yatapita lakini neno litasimama.

Na bwana awabariki wote.

samahani mpendwa ingekuwa vema kama unge thibitisha ukweli wa hayo maandiko matakatifu coz usije ukawa unatusimulia hadith za sungura na fisi.
 
Binadamu anazaliwa mara moja, anaishi mara moja na kufa mara moja tu. Chochote nje ya hapo hakipo labda uwe unaamini katika vitabu vya stori vya waarabu na wayahudi ambavyo wengine humu huviita "vitakatifu".

hakika wewe ni ibambasi.,, naamini unajua maana halisi ya jina lako
 

"LIFE AFTER DEATH"
INTRODUCTION1. Our studies in

"Life After Death"
so far have endeavored to show that: a. Such a study is profitable b. Death should be thought of as a positive thing for Christians c. The nature of man is two-fold: soul and body d. The departed spirits of believers go to be with Christ at death e. The souls of the redeemed are in a conscious state during this "intermediate" state2. The question we will focus on in this lesson pertains to the idea of recognition after death: a. I.e., shall we know each other after death? b. For one may agree with all that has been said so far, yet believe that we shall NOT know one another... 1) Either in the "intermediate" state 2) Or in the "final" state3. But what does the Bible reveal about this question?[We begin by observing...]

I. SCRIPTURES WHICH SUGGEST RECOGNITION AFTER DEATH
A. ISAIAH 14:3-4, 9-11,16 1. This passage refers to the king of Babylon 2. Who is recognize by those in Hades upon his death

B. EZEKIEL 32:17-32

1. This passage speaks of Pharaoh and his army
2. Who is recognized by others in Hades - 21
3. Who in turn recognizes those of Assyria, Elam, Edom, etc. - 22-31 C. LUKE 16:19-31

1. This is the familiar story of Lazarus and the rich man
2. In which the rich man recognizes both Lazarus and Abraham - 23-24 D. 1 THESSALONIANS 2:19-20; 2 CORINTHIANS 4:14
1. Both of these passages reveal Paul's expectation of being with His converts at Christ's coming
2. Recognizing them would be a source of great joy for Paul E. MATTHEW 8:11-12

1. Reference is made to Abraham, Isaac, & Jacob in the kingdom of heaven
2. The recognition of which would increase the joys of those present (and the dismay of those "cast out into outer darkness")[To these examples we could add Samuel (who after his death was recognized by Saul - 1Sa 28:3-19), plus Moses and Elijah (recognizedon the Mount of Transfiguration - Mt 17:1-5). All clearly indicatingthat we will indeed know one another after death!But what are some objections commonly made about this view? And howmight one answer them?]

II. SOME OBJECTIONS CONSIDERED
A. OBJECTION #1

1. STATED... a. Some of these passages speak of conditions after the resurrection b. At that time we will have bodies by which recognition may be possible c. But that does not prove that "disembodied" souls in heaven now recognize each other
2. ANSWERED... a. Most of these passages are definitely speaking of the "intermediate" state
1) Those referring to the King of Babylon, Pharaoh and his army
2) The rich man and Lazarus
3) Samuel, Elijah, and Moses b. Angels have no "bodies", yet recognize one another - e.g., Dan 10:13

B. OBJECTION #2


Source and more:Shall We Know Each Other There?
 
Mwenye mistari zaidi ya maandiko kweny biblia atoe,


1. The Scriptures often represent death as a "sleep"
a. Mt 27:52 - ...bodies of the saints who had "fallen asleep"
b. Jn 11:11-14 - Jesus says of dead Lazarus, "our friend sleeps"
c. Ac 7:60 - As Stephen is stoned to death, it is said "he fell asleep"
d. 1Co 15:6,18 - Those who were dead are spoken of as "fallen asleep"
e. 1Th 4:13-15 - Brethren who were dead "sleep in Jesus"


2. Other passages come very near to saying that the dead have no consciousness
a. Ps 30:9 - The psalmist asks, "...when I go down to the pit? Will the dust praise you?"
b. Ps 115:17 - The psalmist declares, "The dead do not praise the Lord, nor any who go down into silence."
c. Ec 9:5,10 - Solomon, in his search for meaning, observes:
1) "...the dead know nothing..."
2) "there is no work or device or knowledge or wisdom in the grave where you are going."

d. Isa 38:18-19 - King Hezekiah says concerning God that "Sheol cannot thank You, Death cannot praise You, those who go down to the pit cannot hope for Your truth."


Source: Are The Souls Of The Redeemed Conscious?
 
ukifa sio mwisho bado kuna maisha tofauti na ya sasa itategemea umeyaandaaje
 
Back
Top Bottom