Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Huyo jamas ungemfata private siku nyingne umchane ukwelii
 
Sasa ilianza Direct kwenye Kugongana na makelele??? Labda ingeanza intro ya kawaida ungeshtuka japo still ungekuwa ushaaribu so ikawaje uhusiano wako na ile familia..
Of course haikuanzia kwenye makelele moja kwa moja, ila ilipoanzia wakubwa wote tulielewa kuwa ile ni porno; Ikabidi istopishwe fasta sana; Mzee mzima nikajibalaguza pale, ila ilikua ni aibu sana.
Luckily enough, haikuharibu the bigger picture ya uhusiano wangu na ile familia; Yule binti siku hizi yuko Norway anafanya kazi huko, bado tunawasiliana mara kwa mara through WhatsApp, na pia huwa nikienda Dar mara nyingi napita kwao kuwapa hi yule sister wake hapo kwao….
 
Aaha hapo sawa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nao wanaangaliaga kumbe walijuaje ni Porno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Wanawake bhana ukute mabwana zao wanawatumia na wao wanachek sana mtandaoni...
 
Duuuu pole
 
Reactions: EEX
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Huyo jamas ungemfata private siku nyingne umchane ukwelii
Isingesaidia hahaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu mie nili mix vyote hivyo, yaani nilipata aibu sana kwa kweli sitakuja kusahau..
Ulikuwa unakandia kinoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
niliwahi kutoa laki mbili,akanipa zote efu tano,kufika ghetto nakuta zipo laki moja baada ya mbili,nikarudi kesho yake akanirudishia
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna jamaa kwenye mwendokasi kakusudia kujamba taratibu watu wasisikie kule kutoa hewa akajikuta kaharisha uharo ule laini wa majimaji na unanuka yai viza kituo kilichofuata ni manzese abiria wote walishuka
Jamaa kasikia aibu sana maana goma limechirizika hadi chini
Dereva kamsaidia kumpeleka nyumbani
 
Duuhhhh!!!!! Hii ni kweli? Noma sana mzee.... Imetokea lini hii?
Jamaa itakua alisikia aibu sana aisee
 
Aisee kosa kubwa sana kutishia kujamba wakati unnarisha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji2089][emoji2089]
 
Niliwahi kuiba mtihani kipindi nipo primàry school. Mama alikuwa teacher wa soçial science, sasa nimefanya paper fresh tu ila nikahisi hapa nitafeli tu.


Sasa wakat wa kurudi home, mama kanipà ile mitihani nikawa narudi nayo home aisee

Wakat narudi, nikakutana na malaika wachafu barabarani, hahahaa.
Malaika wa shetani wakaniambia niibe marking scheme na kujisahihishia bila aibu... Dah!
Noma sana jamaa zangu

Sasa picha linaanza, paper nimepigia pen ya blue, hapa narekebisha majibu kwa pen nyeusi. Dadek nilipomaliza nikarudisha. Mama akaja akaanza kusahihisha
Msala ukaanza alipokutana na AS yangu. Kapigwa na butwaa napata 100%...
Akacheka sana baadae akaghadhabika sana. Akaniita na kunihoji, nikakana shtaka!!

Siku hio nilichapwa sana mbele ya baba mdogo na kaka.
Kesho yake nikatangazwa darasani na mstarini aisee daaah aibu sana

Nilifedheheka sana mwenzenu.
Imepita miaka 15 lakin nakumbuka
 
"E="fogoh2, post: 32391860, member: 428267"]
We boya sana yani unakata mikucha yako na nail cutter za mtu mwingine magonjwa yote haya.
Mimi ilinikuta miaka kadhaa iliyopita ndio nimeajiriwa kwenye kampuni flani hapa dar.jioni nimekaa na mabosi zangu kupata wine kidogo na kujuana vizuri.tulikua tumeweka simu zetu mezani,bahati mbaya nikachukua simu ya bosi mmoja nikatia mfukoni nikijua ni yangu .mara kidogo jamaa akaanza kuulizi simu yake mimi nimetulia tu nikiamini iliyopo mfukoni ni yangu.
Dah ilivyobipiwa ikaita kwangu halafu hata hawakunipa nafasi ya kujieleza zaidi ya kila mtu kutunza simu yake kwa umakini,nilijisikia fedheha haielezeki
[/QUOTE]"
Dah! Yaani nimecheka hapo mwishoni. Kweli hiyo ni aibu ya mwaka
 
Uyo Dada yuko wapi now
 
Daahhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ndo bahariaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…