Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

Mzee wa Country Side
 
Alafu imagine na watoto songea girl walivo kisu nawatamani
 
Siku moja rafiki aliniambia nimsindikize ameitwa out na Mbaba wake
Kwanza picha linaanza mbaba ni mkubwa nkaanza kuona aibu hata kukaa pale afu kaniweka karibu na yule baba ananiongelesha mda wote .
Baada ya dakika chache message nyingi zikaanza kuingia WhatsApp nkamuuliza bestie kuna mtu ananisumbua afu simjui nikamuonyesha Hamadi kumbe ni yule baba[emoji23] niliona aibu sitasahau.
Huku nyuma boyfriend kaniambia tutoke nikamuambia mim nnalala , dakika chache nawaona wanaingia na mashemeji zangu nlitamani dunia ipasuke ukizingatia niko karibu na yule baba wakajua ni wangu
Nikampiga stop yule baba asintafute ila baada ya siku chache akanichek kuniulizia Jessie yuko wapi hampati hewani nikamchek Jessie amtafute mtu wake kumbe ilikua gia akaniambia sehemu alipo kama sitojali nimjoin nkakataa kisha nkascreen shot nkamtumia Jessie after mins yule baba ananitumia ile screen shot nliyomtumia Jessie akaniambia "You need to grow up" [emoji23]
 
Boyfriend alikusamehe?
 
Pole
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Duuh![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi nakumbuka Kuna Kipindi katika Ujana wangu Nilikuwa napenda Kuruka sarakasi.Nakumbuka siku moja Nilikaribishwa Harusin na Familia.Sasa mm nilikuwa nishazoea Siwez maliza saa 1 bila kuruka sarakasi,Bahat mbaya kwangu tulipokuwa tumeenda ilikuwa na ni familia ya Kishua kwa hiyo hakuna Kutoka nje ovyo ovyo.Nikasema isiwe tabu humu humu ntaruka.Kijana wa wagu nikajipinda Kuruka halafu kwenye Tiles.Kumbe kwa Nyumba kuna Mmama kabeba sahani yenye Mandazi,Nilivyoruka niliipika teke ile sahani nusura na Yule mama limpate.Alikasirika Alinifokea mpaka Bas,Duuh!Nilijihisi Fedheha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…