Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

Fedheha nayokumbana nayo kila mara ni kama hivi wanaume wa dar na vijihadithi wa kivulana, how come kujisahau tu tena bila nia ovu kuchukua funguo iwe fedheha? Wengine hata kufumaniwa tumefumaniwa sana ila hatukupata fedhedha..
Hii jf bhana kila mtu boss na kila ana dili kubwa na mambo safi ....sasa omba umkute huyo mtu duh [emoji23] utafurah mwenyewe pakulala tu shida
 
Daah poleeeeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu hata Zambia tu Pana usumbufu huo, Nakonde ukiingia hotel nyingi hazina bomba la kujichambia, nilihangaika sana Zwangendaba Hotel hadi nikatumia tu toilet paper huku najiona kabisa kuwa kuna vipande vya mavi vinabakia
 
Enzi izo kimpisky. .. Mpk mzazi akaja mbn hamnawi.. Dadek kila pa kubonyeza hola. Kitu hand sense
 
Aiseee menichekeshaaaa sanaaa lakiniiii poleee kwa kipigooooo
 
Mkuu, hiyo ni fedheha au aibu!? inavyoonekana hayaja kukuta bado.
 
acha kujiosha mwizi wewe
 
Reactions: EEX
Kulikuwa na mama mmoja amepanga jirani na nyumbani kwetu, ni MTU mzima alishaolewa na akaachika, alikua na uhusiano na kijana mdogo ambaye umri wake haumfikii hata mmoja kati ya watoto wake, na alikua akilalanae kwa siri, basi siku moja yule kijana alikuja kwa yule mama hakumkuta,alimsubiri kwa muda lakini hakutokea, ndio alipoamua kuparamia dirishani na kuingia ndani akitegemea sugar mummy wake atarudi. kwa bahati mbaya yule mama hakurudi na hakua na taarifa kumhusu Dogodogo wake. shida ilianza palipo kucha yule kijana anataka kutoka kuparamia kwa ndani Kashindwa, ndipo alipoanza kugonga mlango, wapangaji wa vyumba vingine wakaenda, kilichowashangaza ni kwamba mlango umefungwa kwa kufuli kwa nje, ndio wakaanza kumuuliza wewe nani? na uliingiaje humu ndani? ikabidi jamaa afunguke tu hakua na jinsi. baada ya kujieleza, wale wapangaji wakakubalia wamwite balozi, na balozi akashauri waende polisi kwanza kabla hawajamsaidia, walipokuja polisi ndipo mlango ukavunjwa na hapo watu walishajazana kibao. aibu kiasi gani ndugu yangu!?
 
Oooh pole sn
 
Daah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanangu uliachia mzigi wote mkoa!!!
 
Bint bado mpo pamoja?
 
Huyo kijana sio wewe mkuu?...umetisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…