Life imekuwa bored. Nataka nirudi Bongo. Huku wazungu hawana Time kabisa na mimi

Life imekuwa bored. Nataka nirudi Bongo. Huku wazungu hawana Time kabisa na mimi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Najaribu kutafuta mtu wa kugombana naye sipati. Nimezoea humu JF atajitokeza mtu tutatukanana siku au weeks hapo najisikia saaaaafi kabisa.

Hawa jamaa kwenye forums zao na maofisini wapo busy. Tunakosa muda wa kujamiiana na kusababishiana matatizo. Mi napend sana ku socialize(kujamiiana) ila hawa watu wapo busy kila mtu kivyake.

Naona bora nirudi tu Bongo. Huko michezo michevenzo mukide sana. Na kujigongea mademu si issue kubwa uwepo mkwanja tu. Namiss pia maugomvi na beef ya kitaa au JF.
 
Back
Top Bottom