Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

dah imeishia hapo
 
Mkuu Analyse hongera Kwa story nzuri , Ila mkuu unashusha episode fupo fupi Sana. Hatujakuzoea hivyo Kaka.
Kadiri siku zinavyosogea na majukumu yanakuwa mengi. Ndio maana nikasema hii itakuwa ni simulizi yangu ya mwisho JF, sio kwamba zimeisha, bali najua sitoweza kuwa na muda mwingi wa kuweza kuandika kama ilivyokuwa hapo awali. So tuvumiliane kwenye ili.
 
Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
 
Dah Analyse hakika ulimkosa mwanamke makini sana. Sema ndio hivyo zali haliendi kwa mentali mara mbilimbili. Binafsi naamini kuwa ukiona mwanaume amekubarika kwa upande wa mwanamke I mean ndugu especially bi mkubwa wake, hapo oa....
Sema sisi vinyege mshindo hivi vinatuharibia kwa future wives kwa wanawake wa kupita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…