Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Alitumia mbinu ambayo sikuitarajia na ndio maana nikashindwa kujitetea. Nilishukuru alivyomwambia mama yake atupishe, maana aibu ingekuwa kubwa zaidi
Sijui kwa sasa ila wakati huo wa uchakaramu inaonekana Esther alikuwa anakuzidi akili na maarifa mbali sana.
Nimecheka sana hapo ulipojipiga risasi ya mguu kwenye suala la simu na chaji mkuu.
 
Hadi umefikia kuandika story ya Esther kwa heading hiyo, inaonekana kwa sasa nyumbani moto unakuwakia mkuu.
Ila usiwaze sana, wengi wameoa au kuolewa na watu ambao baadae sana ndio wamegundua sio sahihi kwao kulinganisha na walipopita zamani.
 
Asante sana mkuu nimeumia utafikiri ni mimi ndiye niliyekutana na hilo tatizo. Natamani kujua nini mtazamo wa Ester wa siku za mbele, naamini atakutafuta tu kwa show za hapa na pale hapo baadaye maana wanasema watu waliowahi kuwa wapenzi huwa hawaachani hata kitendo cha yeye kukipigia kukujulia hali bado anakukubali.
Unimenifnya nimezifuta namba za watu muda si mrefu
 
Wanawake aina ya Esther wa ajabu wewe, hawakukasirikii, hawakununii, hawakukimbizi , ila akishasema imetimia HUTAWAGUSA MILELE.
wanachelewa mno kufikia maamuzi ya HII IMEISHA!sana sana!
Utamaliza vituko vyote, ukiamini hawachomoki.
bwaaana bwana, siku anaondoka hutaamini ni yeye.
Na anakuwa tu yuko cool!
 
Habari ya muda huu ndugu msugua visimi, Mbulu Masieda, Sanu,Kainam,Endakikot Erokodaaa na pale Mbulu mjini napajua sana nimetembeza Makagari sana,kupitia andiko lako hili nimegundua kabisa ukiendekeza amri na matakwa ya uboo unaweza angamia mapema sana, sikia kaka kiroho safi kBabisa naomba nisaidie namba ya Ester, thank you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…