fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,809
- 8,032
Sijui kwa sasa ila wakati huo wa uchakaramu inaonekana Esther alikuwa anakuzidi akili na maarifa mbali sana.Alitumia mbinu ambayo sikuitarajia na ndio maana nikashindwa kujitetea. Nilishukuru alivyomwambia mama yake atupishe, maana aibu ingekuwa kubwa zaidi
Nimecheka sana hapo ulipojipiga risasi ya mguu kwenye suala la simu na chaji mkuu.