nilicheka jamaa mmoja instaMashangazi nimeamua kujipumzisha nao, pengine nitanenepa sasa π
NAKAZIAWanaume wasio na historia ya kuchafua wanawake wengi wakioa wanakuwa mambwa
Ilinichukua miaka 8 kufikia hilo hitimisho.Kweli naona umedhamiria
Na ndio ukweli wenyewe huo π π π πnilicheka jamaa mmoja insta
alisema ''nyie msituone hivi tunaokula mishangazi tuna kazi kuuubwa nyie basi tu mnatuona kama tunapenda tu kitonga''
Alisema kwa hisia sana, π π π π π π π π
AH WEEEEEH!Naona unakusanya marking scheme, Isijekuwa ndio unajiandaa kuwa shangazi. Viben ten vya JF vinakuzoom tuπ π
kwa hiyo tuwahurumie tu!Na ndio ukweli wenyewe huo π π π π
Oh yeah!All is well lakini. Muhimu afya ya akili na mwili
Daah una tu attack sana kuna mahusiano based na tafiti au ni uzoefu wako ???Wanaume wasio na historia ya kuchafua wanawake wengi wakioa wanakuwa mambwa
next 15 years unafkr itakuwa ni texts za ''Baby i miss you''Hii sentensi imekuja kujaje sasa? π π π π Umenifanya nicheke peke yangu hapa
ahahahahahhahahahhaha dah!Kila ukiniona usiache kunipa pole π
Ahahahhahahaah haya bana πππShida ni kwamba yeye hawezi kuhimili presha. Ameamua atulie ili kusave afya ya moyo wake π π π
ππππππAcha kujipa uzee ambao huna. π π π