snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
nilicheka jamaa mmoja instaMashangazi nimeamua kujipumzisha nao, pengine nitanenepa sasa π
alisema ''nyie msituone hivi tunaokula mishangazi tuna kazi kuuubwa nyie basi tu mnatuona kama tunapenda tu kitonga''
Alisema kwa hisia sana, π π π π π π π π