Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Mashangazi nimeamua kujipumzisha nao, pengine nitanenepa sasa πŸ˜…
nilicheka jamaa mmoja insta
alisema ''nyie msituone hivi tunaokula mishangazi tuna kazi kuuubwa nyie basi tu mnatuona kama tunapenda tu kitonga''
Alisema kwa hisia sana, πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Na ndio ukweli wenyewe huo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hii sentensi imekuja kujaje sasa? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Umenifanya nicheke peke yangu hapa
next 15 years unafkr itakuwa ni texts za ''Baby i miss you''
ni mwendo wa ''....nisogezee ile bahasha pale juu, hii miguu toka asbh siielewi''

Ukijichanganya at this age kuchagua mwenzi mwingine kwa kutizama anaandikaje i love you sana , UTAJIPOTEZA MNO!
 
Back
Top Bottom