Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Mkuu Analyse kwa simulizi zako kuna kitu in general nimekiona kwamba ni hivi mpaka uliopo kati ya utamu na uchungu ni mdogo sana.

Hivi vitu viwili uwenda kimoja kilizaa kingine ila hatujui ni kipi, raha ikikolea sana akili inafreeze kabisa na shida zinatufanya akili inakuwa active sana.
 
Kutusua au kuharibu, vinatenganishwa na mstari mwembamba sana
 
🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…