nakumbuka alikupiga kabali hadi ukanya!Mshua wangu ni mtata by nature yani π
Kwamba, bila wewe wasingejuana πππππ€nitakua kama mshua wako kwa mwanangu aseeee,,ole wake amtafte mme wangu bila ruhusa anguπππΎ
Moto wako mkali mkuu ndo maana mtoto akizikusanya za kutosha anataka wewe ndo umtoe inaonekana jamaa yake alikuwaa na kibamiaShida ni kwamba alikuwa na mpenzi wake mwenye fyucha nae π
Kaa kasha meku
Ayau mekuKaa kasha meku
Kwa namna nilivyokujaga kuongea nae vitu alivyoniambia, yuko peace na maisha aliyochagua.Nimecheka sana we na baba yako [emoji1787]
halafu kingine mzee ky: Mbona wenzako wakina kina mzee kidevu wapo lindi huko, nasikia wameokoka sasa hivi na wewe anzisha hata kanisa huko ulipo [emoji1787][emoji1787] huyu mzee nyie yaani utapeli umemfanya kila kitu anakichukulia simple