Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Nimecheka sana we na baba yako [emoji1787]

halafu kingine mzee ky: Mbona wenzako wakina kina mzee kidevu wapo lindi huko, nasikia wameokoka sasa hivi na wewe anzisha hata kanisa huko ulipo [emoji1787][emoji1787] huyu mzee nyie yaani utapeli umemfanya kila kitu anakichukulia simple
Kwa namna nilivyokujaga kuongea nae vitu alivyoniambia, yuko peace na maisha aliyochagua.
 
Back
Top Bottom