Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Panda juu baada ya mimi kukutagsioni muendelezo hadi nitafute,asante mtani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panda juu baada ya mimi kukutagsioni muendelezo hadi nitafute,asante mtani
nimepata shida kupata muendelezo wa nilipoishia maana comment nyingi nimemalizaPanda juu baada ya mimi kukutag
Lakini asiwe kama Mama Husnq😀Ndio hivyo mkuu, hawa madogo wanazingua
Nilitaka nikuwahi leo, asante aposto ngoja niburudike sasa
Nimewaachia nyie hutu tustory
Santo sana aposto
Wewe jamaa na baba yako nomaa sana aisee!Mshua: "Sasa sikia, tumia hiyo likizo kutafuta mke na sio kuzurura zurura kwenye nyumba za watu"
Mimi: "Kuzurura kivipi Baba wakati Mimi nakuja kwetu?"
Mshua: "Kwenu wewe na nani?. Kwanza Mimi na mke wangu siku sio nyingi tunasafiri. Na sisi tunaenda kutembea, nyumba tunafunga"
atakua anaomba omba hela kwa mume wangu,afu mimi hazitatoshaInahitaji moyo wa ukauzu kweli kweli kufanya hivyo. Na kwanini umfanyie hivyo sasa? 😅😅😅
Alafu haya ananifanyiaga Mimi tu, tena endapo nitaenda peke yangu. Ila kama tukienda watoto wote, huwa anakuwaga peace tuWewe jamaa na baba yako nomaa sana aisee!
Napenda kujua mtizamo wako kama watoto wake wengine pia huwa anawajambisha kama wewe au wewe ni special kwake?