Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Tumeshatoka kazini sasa

Mpaka saa 2 usiku nitapita hapa kuona huyu andazi katrina anayemchezea sharubu aposto
 
Mshua: "Sasa sikia, tumia hiyo likizo kutafuta mke na sio kuzurura zurura kwenye nyumba za watu"

Mimi: "Kuzurura kivipi Baba wakati Mimi nakuja kwetu?"

Mshua: "Kwenu wewe na nani?. Kwanza Mimi na mke wangu siku sio nyingi tunasafiri. Na sisi tunaenda kutembea, nyumba tunafunga"
Wewe jamaa na baba yako nomaa sana aisee!

Napenda kujua mtizamo wako kama watoto wake wengine pia huwa anawajambisha kama wewe au wewe ni special kwake?
 
Back
Top Bottom