Mkazamoyo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 1,495
- 2,543
Salary Slip bahati mbaya sana kwako siasa na mpira vimekufanya uwe kipofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu huyu kitoga ana kauli za kishujaa kuliko uwezo wa timu yakeGSM angeharibu hii ligi kutokana na aina ya udhamini wake
Injinia Hersi anasema piga ua Yanga mwaka huu lazima awe bingwa, afu wakati huo huo mabosi zake GSM wanadhamini Yanga na Vilabu vingne,,, fairness ipo wapi!???
Nawashangaa wanasheria wa hivi vilabu wamekaa tu hawadai hela zao za miezi walioyoitangaza GSM UTOPOLOMbona hajakataliwa NBC mkuu? kwani GSM wana lipi la ajabu kuasi cha kusema kuondoka kwao ligi itayumba?
Watu wenyewe hawajatoa hata senti kwenye udhamini wao hewa na wamenufaika kutangazwa na vilabu dhaifu wasio na nguvu ya kuipinga TFF
Kama si simba kusimama imara hawa jamaa wangevipiga vilabu vyote na huu mkatana wao wa kimangungo
Hana hela ndio maana kalala mbele, alipe deni la matangazo kwa vilabu vinavyomdai kwa matangazo aliyotangaziwaHizo B2 akaidhamini utopolo
Njaa kapunguza utopolo zamani walikuwa wanakula mihogo sasa hivi wanakula tambi za kupima.Miezi mitatu ya udhamini mwenza GSM hajatoa hata kumi kwa hivyo vilabu, lakini bado watu wanataka kutuaminisha GSM angepunguza njaa kwenye hivi vilabi
jamaa yenu hana pesa acha kuingiza kwenye kichaka cha usimba na yangaSimba na Yanga na mashabiki wao ndo waharibifu.
Ushabiki unageuka dini. Yanga inapendelewa shabiki anasema ilimradi p3. Simba inapendelewa ilimradi p3. Badala ya kuungana na kulaani.
Itafikia kipindi itakuwa ni kupandiana dau kila simba na yanga zinapokutana na timu ndogo halafu wachezaji wa timu ndogo na marefa watahalalisha njia hiyo kama njia za kipato cha pembeni na ndo ligi itakua bye bye.
Lakini matokeo yake tumeona "Piga Ua Lazima Makolo lazima Yashinde... iwe kucheza kwa 97 hadi kolo apate goli au hata kwa Magoli ya offside"GSM angeharibu hii ligi kutokana na aina ya udhamini wake
Injinia Hersi anasema piga ua Yanga mwaka huu lazima awe bingwa, afu wakati huo huo mabosi zake GSM wanadhamini Yanga na Vilabu vingne,,, fairness ipo wapi!???
Unajua maana ya mkataba wewe?!Kuna Vilabu 15
Havitoshi mpaka Simba
Wana Lao hao Hawana loloteUnajua maana ya mkataba wewe?!
Kama mkataba unasema vilabu 16, huwezi kusema "mbona vilabu 15 vilivaa nembo"!!
[emoji23]jamaa huna akili wewe
Jamaa yetu nani? Mpira wa TZ wenyewe nimejaribu kuufatilia kwa umakini kidogo msimu huu, na hayo ndo maoni yangu baada ya kuangalia mechi za simba na yanga.jamaa yenu hana pesa acha kuingiza kwenye kichaka cha usimba na yanga
Wanalazimisha vitu ambavyo havipo halafu yalivyo mazuzu baadae yanawalaumu wengine,inachekesha sanaYanga ni timu ya hovyo kabisa. Wanatuharibia Ligi yetu Salary Slip
kwani anaongelewa nani humuJamaa yetu nani? Mpira wa TZ wenyewe nimejaribu kuufatilia kwa umakini kidogo msimu huu, na hayo ndo maoni yangu baada ya kuangalia mechi za simba na yanga.
Ukiangalia sababu zilizotolewa na GSM kufikia uamuzi wa kusitisha mkataba wa udhamini wa ligi kuu ya NBC, asilimia 99 zimechangiwa na ukaidi wa Simba katika kutekeleza ma..jamaa yenu hana pesa acha kuingiza kwenye kichaka cha usimba na yanga
Ana uhusiano gani na mashabiki wa simba na yanga kutetea upumbavu wa timu zao?kwani anaongelewa nani humu
waulize wana utopoloAna uhusiano gani na mashabiki wa simba na yanga kutetea upumbavu wa timu zao?