Ligi isiyo rasmi, inayoshabikiwa na trafiki na abiria Sauli vs Golden Deer

Nimetambua kuwa zhong thong ikipata dereva mzuri weka mbali na watoto, zinakula milima kama scania...
Hizi basi mchina yuko vizuri ingawa mnyama mkali hana mpinzani...
Ivi kuna yutong inaenda mbeya kweli??? Climber naona za kutosha huko na asia star ya imani plus
 
Hv siku hizi kuna basi linakimbia kweli au wanawahi muda tuu maana kuna ratiba ya LATRA,Iringa nadhani saa 7.00 na Makambako saa 10.00 ndio gari zinatakiwa kufika muda huo.Basi zilikuwa zinakimbia zamani enzi za Tawakal,Kiswele,Masia,Matema Beach,Zainabu,Twiga,niongezeee na wengine au.Mbeya au Dar saa 9.00 hv au 10 kasoro.Utashangaa watu wanashabikia gari kufika Uyole saa12.15 au 30 unashangaaa.Wote wachumba tuu chuma zilikuwa zinatembea zamani tena Scania F93 AU 113.
 
Kwa mbio atapata wateja ila kwa huduma njia ya kuanzia arusha -mwanza Asante Rabi yupo vizuri.
Kajipanga jamaa service zao ziko poa labda wenge la abiria limzidi abweteke Asante rabi, kapricon, kiaz wote saiz spana mkononi hamna mwenye uhakika wa kutoboa kwa baadhi ya chuma
 
Michina myepesi sana, very unstable
 
Tunyande, Mwanahapa, etc
 
Hayo mabasi mi sipandi aisee... Hasa Sauli (Wenyewe wanaita Mnyama)na Golder Deer ( wenyewe wanaita DiPikei), wanatembea mwendo wa hatari sana hasa Sauli na ni mabasi yote matatu, ndio yanakuaga ya kwanza most of the time na yanaongozana yote matatu! Chakushangaza abiria wanafurahia tena unaweza kukosa hata ticket kwa sababu yana soko kubwa. Sauli anapita Iringa saa sita na nusu siku hizi.. sijui vile vingamuzi vya LATRA vkama bado vinafanya kazi....

Sio kwamba nina chuki binafsi au conflict of interest ila nina experience mbaya na mwendo kasi na nisingependa siku moja tusikie basi fulani limechinja watu kadhaa!
 
Tena kwa njia ya dar/mwanza hao ally star madereva wako reckless sana. Wanawaza kuwahi tu full mambio na kuovertake hovyo tu. Inafika mahali anatamani barabarani awe mwenyewe tu anavyopiga horn akiovertake
 
Leo kuna picha nimeziona mtandaoni dereva wa Sauli kapiga goti kuomba radhi kwa Waziri Simbachawene
 
Kajipanga jamaa service zao ziko poa labda wenge la abiria limzidi abweteke Asante rabi, kapricon, kiaz wote saiz spana mkononi hamna mwenye uhakika wa kutoboa kwa baadhi ya chuma
Nakupinga mkuu, huyo Loliondo ni vile bado mbichi sana ndiyo mana unampa credit ila kwa Asante Rabi hawezi kufikia huduma, muda utaongea.

Mchina hawezi kuimili mikiki mikiki ya road for 13 months, lazima alete chombo mpya ila kina rabi na zile old skuli scania bado yupo.
 
Mnakariri sna eti miezi 13 [emoji28] Hoi

Ivi unajua DCA za Newforce zinamiaka mingapi road alaf ni mchina L360

Kuna zile Zhoungtong Caesar za Frester na CXX unajua zina miaka mingapi road?

Zhoungtong Climber (GOLDEN DEER) za Swax DMG series unajua zina 5+ years still zinaenda Kms 1150+

Unaijua DRR 754 ya Dar lux inaenda nayo nearly Kms 1200 tena tupa geuga sometimes hadi mwezi kabla ya service kubwa ipo moja tu!?


Kaangalie Feo ana Tong number B still working

Eti miezi 13 mnazi underate sna Chuma za kichina (sikatai Kwa overall durability Scania yupo vzr) ila achana na moto wa L360 Dongfeng Cummins

Unaijua DRG Tanzania one aka la petrol ya Ally's star (Dar mwanza)
Ñjoo na Scania yako ufate [emoji28]


DRR ya Chris katoka msamvu Morogoro 08:49 saa 11:29 yupo Dom

Na bado chuma zinabanwa sna road

 
Napenda Scania, Nissan diesel na Isuzu ndo Gari huwa napanda Yan nikifika stend nafanya uamuzi huo.

Sihu hz za karibuni niliamua kupanda hyo loliondo baada ya kapricon kujaa ilkua mza - ars, aisee sikuamini jinsi yutong tena sio hz mpya zilivyokuwa zinamwaga moto, the same case from Iringa to ars nikajichanganya nikapanda machame Mambo Ni yale yale Ile milima ya kukutafuta mtera tumeongozana na higer ya kimotco, na Scania ya kapricon Ila machame aliwaosha wote.

Tunatoka stend Dom tupo karibu nz round about ya shabiby ndo kimotco anaenda stend, Babati hotel kula angalia nyuma hola, stend hola mpaka ars hakuna mtu, juz pia hvyo hvyo sema ligi ilkua n Yutong vs Higer.

Dar express Jana kaleta nne soon Asante rabi, kapricon na kimotco watapokea punguzo la Bei kutoka Scania vinginevyo mzungu anatoweka kwenye uso wa mabasi Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…