Ligi isiyo rasmi, inayoshabikiwa na trafiki na abiria Sauli vs Golden Deer

Hapo zishabadilishwa mpaka gear box mdau kubali tu hakuna mchina mwenye cxx na engine ile ile nenda pale maning nice huwa anafanya overhaul ya gari zima kuna siku nilikuta kashusha engine sita za climber na kaweka mpya ila bodi ni ileile..........tukio kama hili la kushusha engine kwa scania piru utalisahau mdau ila kwa mchina miaka minne mingi
 
Swali zuri halafu izo retarder si zipo kwenye yutong??
Yutong Upgrade hizi za Sasa zinazo, Nadhani Zhongtong wao ni option feature sio lazima. Zinawapa Sana uhakika wa breki madereva sehemu za miteremko mikali.

Kipindi cha nyuma basi za mchina brake zilikuwa zina jam na kupelekea brake line na drum kupata moto na kuungua, saizi hakuna kesi hizi wanamwaga moto tu.
 

Mkuu kama umetuacha hapo wengine. Yaani hata Askari ni mashabiki wa Mbio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…