Yanga Imeshafungwa Jumla Ya Magoli Mawili Ya Visigino Na Mjumbe Kamati Ya Utendaji Ya Klabu Ya Simba Said Tully a.k.a KIBOKO YA MURO Kutokana Na Kitendo Cha Msemaji Wa Timu Ya Yanga Jerry Muro Kumkimbia Na Kumkacha Said Tully Ktk Kipindi Cha Michezo Cha TBC1 Kilichokuwa Kinaendeshwa Leo Na Mwanasimba Wa Kutupwa Ahmed Salum Ambapo Wawili Hao Walialikwa Kuja Kuzungumza Haswa Mtanange Wao Wa Kesho. Goli La Pili Walilofungwa Yanga Tena Leo Ni Kile Kitendo Cha MHAMASISHAJI Wao Mkuu Ktk Ushangiliaji Yule Mjamaa Ambaye Ukienda Uwanjani Hukaa Jukwaa La VIP B Upande Wa Yanga Huku Akiwa Amejipakaa Mkaa Mwili Mzima Na Kuweka Misponji Ktk Mtumbo Wake Anaitwa Ally Yanga Kushindwa Hata Kukitaja Tu Kikosi Cha Yanga Huku Akimshangaza Hadi Mtangazaji Wa Kipindi Lakini Mwenzake Wa Simba Ajulikanae Kwa Jina La Frank Gasper Alionyesha UMAHIRI Mkubwa Ktk Kufanya Uchambuzi Wa Kina, Huku Akivutia Hata Kumsikiliza Na Kama Hiyo Haitoshi Aliweza Hadi Kumtajia Huyo Shabiki MBUMBUMBU Wa Yanga Kikosi Chao Yanga Na Madhaifu Ya Kila Mchezaji Na Timu Nzima Ya Yanga.
Hivyo Mpaka Sasa Yanga Imeshakubali Kufungwa Magoli Hayo Mawili Huku Mengine Matatu ( Hat trick ) Akisubiriwa Mwenye Kazi Yake Ibrahim Ajib Brakadabra Amalize Kesho Taifa.................Kazi Ipo!
MTANINUNIA SANA MWAKA HUU LAKINI POA TU.