Hatari hatari hatari, raha ya pekee kuwa Yanga. Tunaongoza ligi, mechi ya jumapili ni ya ligi kuu ni kama mechi zozote, kama watu walivyopigwa moja na Stand United.
Heshima ni kuchukua kombe mbele yao. Nimemaliza...
Cheki jamaa wanavyotia huruma, kweli kufungwa nomaa, walivyotoa macho ni kama mjusi kabanwa na mlango.
View attachment 233334
Wanasikitika kupoteza points 3 muhimu ambazo zingewafanya wajikite kileleni zaidi..
Lakini hata hivyo wanaongoza ligi kwa point za kutosha na mechi mkononi.
😝😝😝😝😝😝😝.
Huyu aliyeshika tama kwenye picha kulia ni wewe nini?Ndio maana unabwajabwaja sana.
Nakupa assignment ya kufanya ingia kwenye Website ya CAF
tafuta nani yupo juu kwenye ranking system ya timu za Africa kati ya Yanga na Simba halafu njoo urudi hapa na jawabu. Hata Azam wapo juu yenu. Domokaya.
Ndo mana Taifa Stars kila mechi haifanyi vyema. Sasa ni muda muafaka kuwakabidhi "vijana wa kazi" Simba Sc.
Simba Sc + Thomas Ulimwengu + Mbwana Samata = Taifa Stars = Ushindi Ushindi!
Cheki jamaa wanavyotia huruma, kweli kufungwa nomaa, walivyotoa macho ni kama mjusi kabanwa na mlango.
View attachment 233334
Hiyo list lazima tuingie fainali za Afrika na kuchukua Kombe, tena na lile kombe lilivyo na fedha nyingi kuliko Mtani Jembe lazima Taifa Stars ilichukue tu.
Simba ya Mifwedha bhana, siunakumbuka mwaka 1993 Dewji alipotangaza zawadi za magari ya KIA kwa kila mchezaji kama itachukua kombe la Washindi, nafahamu mkuu unakumbuka nini Simba walifanya na hakuna timu yenye uwezo wa kufikia urefu wa rekodi hiyo.
Visonoko vimeanza kuibuka kama senene. Mtaikoma Simba kila mkiingiza nyaa inapakatwa. Hasira haisaidii. Nunue kamba mjitundike. Kuzimia tu sio fashion tena.
Huyu aliyeshika tama kwenye picha kulia ni wewe nini?Ndio maana unabwajabwaja sana.
Nakupa assignment ya kufanya ingia kwenye Website ya CAF
tafuta nani yupo juu kwenye ranking system ya timu za Africa kati ya Yanga na Simba halafu njoo urudi hapa na jawabu. Hata Azam wapo juu yenu. Domokaya.
Vipi binti? kilikua kitamu eeeeh?
Inaonekana hujui mpira weyeeeee...Unajua kupost tu JF
Hakuna timu ngumu kufungika kama Simba
Wanasambaza kandanda safi lenye kufurahisha
Hivi uliziona zile pasi kwa dakika 5 non stop...Yanga mkautafuta mpira kwa tochi...Unadhani sio chuo hicho?
Acha weeeeeee.....
Kubali kataaa....simba ndio chuo cha soka Tanzania....Umeona vijana wetu walivyowatoa nishai
Unaonekana hujui masuala ya soka kabisa!!!!!!
Utadhani ni vigezo gani hutumika ku-rank clubs..
Participation katika michuano mikubwa inazingatiwa sana. Tuambiane mara ya mwisho kushiriki hiyo michuano ilikuwa ni lini..?
Kila siku Azam na Yanga.?!
hayo mashindano huwa mnafika wapi??
Katika vitabu vya kumbukumbu vya FIFA.... jina la Dar Young Africa ndilo litakaloandikwa kama mabingwa wa soka la Tanzania kwa msimu wa 2014/15.
Sidhani kama Sepp Blater ataandika matokeo ya simba na Yanga ya tar 8/3 /15. Katika kitabu kitakatifu cha soka ulimwenguni.
Ahh ah!!
😁😁😁😁😁😁😁
hivi ndala game yao ya kesho na ruvu bado wana msimamo hawashushi tim taifa???