Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ebu dumbukizeni humu Orodha kamili ya vikosi vyote viwili Jamani
 
Danny Mrwanda nje anaingia Hussein Javu dakika ya 30
 
YANGA hatutaki droo na mikia hivyo wafungeni hao mikia haraka.
 
Wana bahati yeboyebo mpaka muda huu hawajapigwa.Yule dogo anayeogopwa na yanga wanayemsingizia kadi yupo?
 
Mrwanda alikuwa keshatoka mchezoni, kocha kafanya poa kumtoa
 
Kuna vurugu pale golini kwa yanga,,,,,,,,,kadi ya njano kwa Kanavaro na abdi banda
 
Huyu Canavaro ana mpira wa kizamani sana.. wa kibabebabe no professionalism kabisa
 
Back
Top Bottom