Nawaza wangefungwa upande wa pili leo ingekuwaje? Yule mcheza mieleka kesho angekuwa na mabegi yake pale airport.Yanga wamepambana, wmeufanya mchezo kutokua na nafasinyingi. Kwaujumla timu ilicheza vizuri kabwili hakua na kashkash Boxer amecheza vizuri alimkamata ipasavyo Okwi ila matokeo ya mpira ndivyo yalivyo Simba wamepata nafasi mbili wametumia moja. Yanga wamepata nafasi mmoja hawakuweza kuitumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wameumbwa kulalama tuu! Huwa kuna ups n down n this life bana!
Binafsi pa1 na mapungufu kadhaa, nimefurahi kabisaaa! Congrats Simba fans wote! Hongereni kikosi kazi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha..afanye kukugeia tu kwa kweli, I miss you dearly rafiki umenitenga sana.
Hizo story Kiongozi. Mpira ndiyo huo. Tuonane mwisho wa msimu.Hongera mkuu,mmejitahidi walikuwa wanasema mngefungwa 5
Kwa hakika mbinu zake ziligoma kabisa, Ali ruhusiwa acheze mpira atakavyo uchebe ila ishu ilikua nafasi za kufunga, Zahera akipata wachezaji anao wataka Yanga itakua haikamatiki.Nawaza wangefungwa upande wa pili leo ingekuwaje? Yule mcheza mieleka kesho angekuwa na mabegi yake pale airport.
Ona aibu kidogo kuhusu Mwarabu. Kwake kawafirimba goli tano.Kwa aibu naona umekuja...tumewafirimba mabwana zenu Waarabu leo ilikuwa zamu yenu
Hahaha..afanye kukugeia tu kwa kweli, I miss you dearly rafiki umenitenga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza wangefungwa upande wa pili leo ingekuwaje? Yule mcheza mieleka kesho angekuwa na mabegi yake pale airport.
Ya mwanzo nayo alichukua Yanga. Ni timu moja tu iliwahi kukimbia half time.Kikichowaleta Yanga uwanjani leo ni mapato.
Hongereni kibubu leo kimejaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga kapoteza mchezo, ila Wamecheza kama Timu inayo pigania Nembo yake.Mkuu ungewaonyesha hata wachezaji , Historia haikupi point 3 muhimu leo ni SIMBA 1 YANGA 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni hypothetical bosi.