Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Vyura hoiiiiiiii
52090431_532012267290458_8027633681151557632_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku ni taharuki tupu wanawake wenye CHURA hawapiti mitaani.... kuna uhusiano gani kati ya vyura fc na hawa wanawake wenye chura
 
Whotever ila kubali ukatae ukutegemea kama yanga inaweza wapeleka mputa kivile.
mzee matatizo gani mnapitia? inasemekana wale watu wa "hiyo hela tuma kwa namba hii" ni nyie mashabiki wa yanga katika kukabili ukata...poleni sana kama kikosi cha 80 bilioni kilikaa sembuse nyie wa elfu 60.[/QUOTE
 
Huku ni taharuki tupu wanawake wenye CHURA hawapiti mitaani.... kuna uhusiano gani kati ya vyura fc na hawa wanawake wenye chura
Wanapenda rangi rangi. Kikawaida marangi makali makali kama njano, kijani, purple hupendwa na wanawake.
 
Weee chizi. Mi sio shabiki tu kama wewe, Nina kadi ya uanachama iliyo hai.

Simba Leo tumeshinda so vizuri kugombana kama ww ni simba mwenzangu uwe na shukrani timu ikifungwa unalalamika Leo tufurahi siku nyingine ndio utoe kasoro ridhika na kidogo ulichopota Kiongozi kama sisi tumeshinda tunalalamika je yanga wasemaje
Yaishie kiongozi Simba Oyee
 
Back
Top Bottom