OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu, kwani huyajui?
Hongera mkuu,mmejitahidi walikuwa wanasema mngefungwa 5Mkuu, kwani huyajui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwani huyajui?
Hongera mkuu,mmejitahidi walikuwa wanasema mngefungwa 5Mkuu, kwani huyajui?
Simba ina ubora gani aarrghh..Yanga chini ya Manji haikufungwa goli tano Na Al Ahly....Tambweeeeee
Inawezekana umri ulionao imekunyima kuifahamu yanga vizuri. Subiri mwisho wa msimu.Yanga wasahau ubingwa wa Tpl mwaka huu, fedha kiduchu, madeni kibao, ushirikiano wa wachezaji zero, hamasa imepungua na kipigo cha leo ndio mwanzo wa mtifuano wa nguvu!
Leo alikuwa anaongea kikongo tupu hata sijamuelewa.
Mkuu wanajikanda maji.Kimoja cha nguvu tena kwa kupasua chupi sio mchezo.Nipe matokeo mkuu Sibonike
huu mpira wanaopiga yanga siyo wa nchi hii...tactical master class...simba kakimbia mwitun kulaleki!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda goli la shahawa
Yanga wabishi tu Simba mpira wao mkubwa utabana mwisho utaachia tu.Msikate tamaa wana yanga simba imewafunga kwa sababu mechi ilipangwa muda mbaya mlikuwa mnaona baridi kali sana.
Sasa mechi ijayo ongeeni na TFF ipangwe saa nane mchana mtashinda tu kwani simba kwenye jua Kali na joto Kali ni wabovu sana.
Mjipange tu.
Kwa aibu naona umekuja...tumewafirimba mabwana zenu Waarabu leo ilikuwa zamu yenuMkuu, kwani huyajui?
Yanga wamepambana, wmeufanya mchezo kutokua na nafasinyingi. Kwaujumla timu ilicheza vizuri kabwili hakua na kashkash Boxer amecheza vizuri alimkamata ipasavyo Okwi ila matokeo ya mpira ndivyo yalivyo Simba wamepata nafasi mbili wametumia moja. Yanga wamepata nafasi mmoja hawakuweza kuitumi.Kwanza niwapongeze watani kwa ushindi waleo ila pia nikili kwamba kama shabiki wa yanga nisingeweza kusema kwamba tutafungwa japo moyoni nilikuwa nafahamu tutafungwa kuanzia goli tatu nakuendelea.
Nipende kuwapongeza wachezaji na benchi la ufundi la timu yangu kwa kuipigania nembo ya timu kwa moyo mkubwa sana licha ya magumu tunayopitia kama timu, niwaombe mashabiki wenzangu wa yanga tuendelee kuchangia timu yetu kwa moyo mkunjufu kabisa, nivile tu uwezo wa kipesa sina kwa kiasi hicho ila ningekuwa nazo zakutosha nafikili leo ningewapa posho ya kutosha achilia mbali matokeo ya leo. Mungu ibariki yanga mungu tubariki wanayanga.
Mkuu ungewaonyesha hata wachezaji , Historia haikupi point 3 muhimu leo ni SIMBA 1 YANGA 0Bahati ilikuwa upande wako leo....ila soma ubao...View attachment 1024246
Sent using Jamii Forums mobile app