Wapi SarpongKisinda + Mussa + Nchimbi hatari sana
Tayari simba tushapigwa kimoja, ngoma mapumziko..Ngapi ngapi huko?
Kwa Simba bora imekuwa Penalt kuliko kutolewa mchazaji kwa Red card, mwamuzi ana pressure sana anachezesha below average.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mtani unasema ile penalty umeonewa ngoja VAR ijeeeeeeeeeeee
Bora atoke mzamiru ndio aingie dilunga.Toa ONYANGO weka AME
Toa BWALYA weka DILUNGA
No Bwalya aingie Kahata au Dilunga.Bora atoke mzamiru ndio aingie dilunga.
Basi sawaYanga leo anapigwa kuanzia tatu
Na Luis a.k.a konde boy lazma awe man of the match