Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

Mbumbumbu SC wanafundishwa na Ole.

Vyura FC wao wana bahati wana Klopp.
 
Hii mbuzi mzamiru inafanya nini uwanjani, kocha toa hii mbuzi, tia winga, bwalya anarudi midfield, inakuwa pivot formation, chama anacheza free role, game inakuwa mpya, la sivyo. Utafanya tupigiwe simu na mbuzi hazijatupigia simu toka utopolo watubahatishe kile kimoja cha freekick.
 
Toa ONYANGO weka AME
Toa BWALYA weka DILUNGA
 
Toa Mzamiru weka Dilunga aongeze pressing attack.
 
Nina raha sana........ Kezo alisema anataka point 3, hata moja bila inatosha!
 
Kipindi pili kimeanza uwanja wa Benjamin Mkapa

Akitoka Bwalya na anaingia Dilunga upande wa Simba SC
 
Bocooooo gooo laaaaaa, Metacha anacheza

Ilikiwa hatar upande wa Yanga
 
Biriani imeanzaa kwake Kapombeeee lakini Nchimbi anazuia kwa mkono..Ni Faulo
 
Sarpong anapiga krosi...Wanakosaaa
 
60' Chama katikati anamwekea Luis anakwendaa lakini anaangushwa eneo la hatar lakini refa anapeta
 
Back
Top Bottom