dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Bocco kakosa goli la waziHii mechi ingemkuta Kagere leo fit sijui ingekuaje.
Hakuna striker pale Kaka Hakuna striker pale.Bocco kakosa goli la wazi
Bocco kakosa goli la waziHii mechi ingemkuta Kagere leo fit sijui ingekuaje.
Bocco kakosa goli la waziHii mechi ingemkuta Kagere leo fit sijui ingekuaje.
Hakuna goli la wazi pale, magoli ya wazi ni kama alilokosa FaridBocco kakosa goli la wazi
U17? kwanini hamjashinda sasa? au ngoja tukuulize ni timu gani imetengeneza clear chances nyingi kati ya Yanga na Simba ?Yanga hakuna timu, wanashambuliwa kama timu ya U17
Pira biriani bila magoli sijui tuitejeKuna swali lolote kuhusu pira biriani?
Si ninawaulizaga nyinyi Vyura!
Yanga huwa hatuna maneno mengi, kazi kazi.
Tafadhalini sana Mikia hatutaki kuwatafuta baadae, tumechoka tabia yenu ya kukimbia kila muonapo mambo magumu kama inavyoenda kuwa hii leo.