Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

Kaze katumia akili nyingi Sana kipindi xha kwanza, kipindi Cha pili hesabu zimekataa
Hesabu zilikataa kwasababu ya aina ya wachezaji alionao. Angekuwa nje kuna wakata umeme mahiri. Game ingeliisha maana Simba walitawala sana kati na alivyotoka lamile moro ndio kabisa, Yanga ikapwaya kabisa
 
Hesabu zilikataa kwasababu ya aina ya wachezaji alionao. Angekuwa nje kuna wakata umeme mahiri. Game ingeliisha maana Simba walitawala sana kati na alivyotoka lamile moro ndio kabisa, Yanga ikapwaya kabisa
Lamine kutoka ukuta ukapwaya na hata alivyotoka sarpong kumesababisha beki za Simba kupanda juu na kuongeza Kasi ya ushambuliaji
 
Well done msimamizi wa kituo (Afisa wa NEC). Umeamua matokeo.
 
No Bwalya aingie Kahata au Dilunga.
Kifupi mzamiru ndio tatizo game ya leo, huenda ndio akawa mchezaji aliepoteza mipira mingi zaidi, ukiwemo ule wa goli tulilofungwa.. Unapocheza 4-2-1-3, katika wale viungo wa chini inabidi upate box to box midfielder, sasa shughuli hiyo muzamiru haiwezi, kama angeingia kahata labda angeenda kufanya kazi hiyo na sio kumtupa winga kule ambako wanammaliza kiwango chake tu.
 
Hebu fikiria huu ndio mkeka wako wa kuingia mbinguni πŸ™‚?

Ungeshangaa makosta mayai ya mbinguni ...yanavyokupita muda huu!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nilisahau km man u anacheza leo, nilipong'amua hilo nikabadilisha kauli.. Tizama comment moja huko juu niliongelea hili baada ya kuona man u anaelekea kushinda game yake na Everton
 
Wewe umeona kama mimi kwa harakaharaka unaweza kumlaumu Onyango au refa kwa kutoa penati isiyo halali ila wengine wa kuwalaumu ni benchi la ufundi hivi huwa hawaoni makosa ya Mzamiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…