Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Hahahah mbona nipo sana mtani, Nachokupaendea huwa unakuja hewani wakati simba ishashinda

Happiness is a lifestyle
Hahahaaa. Huwa ni mara chache sana mi kuniona kuanzia saa 12 jioni humu nakuwa busy na mambo mengine.

Hivyo kukipambazuka kama hivi ndio naingia kuona yaliyojiri Mtani. Nizoweee.


Ila Hongereni bana mmeweka Historia.
 
Hahahaaa. Huwa ni mara chache sana mi kuniona kuanzia saa 12 jioni humu nakuwa busy na mambo mengine.

Hivyo kukipambazuka kama hivi ndio naingia kuona yaliyojiri Mtani. Nizoweee.


Ila Hongereni bana mmeweka Historia.
Sawa sawa mtani karibu tusherekee, maana tuna kifurushi cha mwezi mzima za shangwe baada ya simba kututoa kimasomaso

Happiness is a lifestyle
 
HONGERENI WATANI ZANGU KWA KUIWEKA HISTORIA NA KUFIKA QUARTER FINAL AMBAPO MNA ZAIDI YA MIAKA 15 HAMJAFIKA HUKO. JAPO NILIKUWA MKONGO JANA ILA KUWAPONGEZA MUHIMU JAMANI. πŸ™ˆ

CC. Watani zangu kina Ghazwat, Viol, Mtoto halali na hela , Sesten Zakazaka 100 Likes, Van pebles, OKW BOBAN SUNZU , King Ngwaba , Krizy Beat , BAK , Shunie , toxic9 , Arushaone , Sanchez magoli, Sapta Sapta , Komeo Lachuma, Therapist 2015 , oscarsolomon ,Proved na wengine wengi.

πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ MPIRA SI UADUI.
 

Asante sana, natumaini ma-uncle wamepata treats za ushindi. Maana kama wao ni wa upande wetu, part yako iko nao na hivyo iko na sisi pia.
 
Asante mnooo ila jana nilimiss uwepo wako sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…