Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Na nyie kamwombeni awape au hampendi kushinda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie kamwombeni awape au hampendi kushinda?
2003Hongereni sana kwa kupeperusha TZ flag, hv mara ya mwisho lini kufikia hatua kama hii ya leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna raha kama kushinda vita halafu mwenzako ka lipuli waNimekuja Mtani! Vp ile presha uliyokuwa nayo ishashuka?
Ama kweli kushinda kuzuri huwezi amini leo Mtani wangu King Ngwaba kanipa na kunipa like. 😜Huyu dada yetu Shadeeya itakuwa umeme umekatika kwao. Maana huu muda angeshafika kutupa hongera.
Hahahah mbona nipo sana mtani, Nachokupaendea huwa unakuja hewani wakati simba ishashindaNaona Mtani unaibuka kutokana na matukio. AISEEE
Baada ya Simba kunipa furaha ,nimebidi furaha nihamishie ndani mwangu kwa mpenzi wangu kuzama Chumvini kwa Dk 90 kama mchezo wa Simba na Vita ,na nikamsindikiza na Bao mbili kama za Simba
Hahahaaa. Huwa ni mara chache sana mi kuniona kuanzia saa 12 jioni humu nakuwa busy na mambo mengine.Hahahah mbona nipo sana mtani, Nachokupaendea huwa unakuja hewani wakati simba ishashinda
Happiness is a lifestyle
Aiseeeee. Umelala kweli Mkuu?
Sawa sawa mtani karibu tusherekee, maana tuna kifurushi cha mwezi mzima za shangwe baada ya simba kututoa kimasomasoHahahaaa. Huwa ni mara chache sana mi kuniona kuanzia saa 12 jioni humu nakuwa busy na mambo mengine.
Hivyo kukipambazuka kama hivi ndio naingia kuona yaliyojiri Mtani. Nizoweee.
Ila Hongereni bana mmeweka Historia.
Mimi kupata usingizi ni uhakika kwasababu nimeshinda, ila wewe mwenzangu sijui kwa upande wako?Aiseeeee. Umelala kweli Mkuu?
HONGERENI WATANI ZANGU KWA KUIWEKA HISTORIA NA KUFIKA QUARTER FINAL AMBAPO MNA ZAIDI YA MIAKA 15 HAMJAFIKA HUKO. JAPO NILIKUWA MKONGO JANA ILA KUWAPONGEZA MUHIMU JAMANI. 🙈
CC. Watani zaangu wooote kina Ghazwat, Mtoto halali na hela , Sesten Zakazaka 100 Likes, Van pebles, OKW BOBAN SUNZU , King Ngwaba , Krizy Beat , BAK , Shunie , toxic9 , Arushaone , Sanchez magoli, Sapta Sapta , Proved na wengine wengi.
👏👏👏👏👏👏👏👏 MPIRA SI UADUI.
Hatimaye Dada akee umekujaNimekuja Dada ake.
Hongera zenu.
Ama kweli kushinda kuzuri huwezi amini leo Mtani wangu King Ngwaba kanipa na kunipa like. 😜
Ntaota. 💃💃💃💃💃
Nimekuja Dada. Ila sisi Wacongo mmetuweza jamaani. 🙈🙈🙈Hatimaye Dada akee umekuja
Asante mnooo ila jana nilimiss uwepo wako sanaHONGERENI WATANI ZANGU KWA KUIWEKA HISTORIA NA KUFIKA QUARTER FINAL AMBAPO MNA ZAIDI YA MIAKA 15 HAMJAFIKA HUKO. JAPO NILIKUWA MKONGO JANA ILA KUWAPONGEZA MUHIMU JAMANI. [emoji85]
CC. Watani zangu kina Ghazwat,Mtoto halali na hela , Sesten Zakazaka 100 Likes, Van pebles, OKW BOBAN SUNZU , King Ngwaba , Krizy Beat , BAK , Shunie , toxic9 , Arushaone , Sanchez magoli, Sapta Sapta , oscarsolomon ,Proved na wengine wengi.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] MPIRA SI UADUI.
Hahaha nawaza tungetolewa tungekoma na maneno yenuNimekuja Dada. Ila sisi Wacongo mmetuweza jamaani. [emoji85][emoji85][emoji85]
Nilijilalia mapema baada ya kuona mmekomboa kisha kuna WATU zimezimia pale Uwanjani nikajua tu tayari ushindi mnao.Mimi kupata usingizi ni uhakika kwasababu nimeshinda, ila wewe mwenzangu sijui kwa upande wako?
Sent using unknown device
Hahahaaa. Si unajua tena huwa nawapandisha presha. 😎😎Hahaha, yaani humu kila mmoja alikuwa anakuulizia, bila kukuona ushindi wetu ulikuwa haujakamilika.