Ligi ya mabingwa wa draft Tanzania aliyoibuka bingwa dogo sisco

Huyu Athumani ni yule wa maeneo ya Kimara na Mbezi?
 
Huyo ni bigwa wa draft Dar es Salaam sio Tanzania, Dar kwa sasa ni Mkoani tu, kama Katavi
 
Kuna mwamba anasumbua sana Mabibo hostel. Cha kushangaza kwenye mashindano katolewa hatua ya makundi tu.

Anadai alirogwa akawa haoni njia za kupitisha kete. Watu wamecheka sana
Muongo huyo ,hao wanasumbua matula tu, wakiwa kwa vijiwe vyao wanatamba ,Sisco anawapigaga Hadi 10-0
 
Huyu Dogo Sisco ni fundi kweli kweli ila nasubiri sana game yake na Msomali wa Arusha au Ronaldo na Msomali

Hapo kipute kitqpigwa
Mechi yake na Ronaldo, Ronaldo analeta vipwngere

Hata java Ronaldo alipojua Sisco yupo hakushiriki

Msomali hamuwezi sisco
 
Huyu Dogo Sisco ni fundi kweli kweli ila nasubiri sana game yake na Msomali wa Arusha au Ronaldo na Msomali

Hapo kipute kitqpigwa
Unazungumzia huyu jamaa wa Arusha

Mbona akija dar wanampiga sana
 
Bingwa ni Sisco
Sasa ni Sisco vipi wakati hata kwenye robo fainal hayupo?

Halafu nao wadhamini gani mshindi milioni 1 tu? Iwage kuanzia milioni 5 mpaka 10. Mchezo unaumiza kichwa huo. Unaweza ukazimia hapo hapo ukiwaza kete kali..

Waandaji waingie front kusaka wadhamini wazito. kampuni kama za bia au Coca, Pepsi hawawezi kukataa kudhamini hata kwa milioni 20 mwanzo mpaka siku ya mwisho
 
Ikumbukwe tu Ronaldo alimkimbia dogo sisco baada ya sisco kutua Dodoma kwa ziara yake mkoani humo..
Cr7 aligomea mechi hiyo ingawa zawadi ilifika milioni mbili na laki saba..cr7 alitaka dau liwe milioni 8
 
Nilirekebisha ,hilo lilikuwa kombe lingine linafanyika makuburi

Kwakweli inabidi wadhamini watafutwe ,mchezo una wadau wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…