Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Inaelezwa kuwa Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua.
Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna klabu ya nje inamtaka, Simba wakamwambia watume offer yao watapokea ofa na watampa release letter.
Taarifa za kuaminika ni kuwa anataka kujiunga na Yanga, Simba wanafahamu hilo kwa hiyo hawana tatizo zaidi ya kusubiri mwisho wa mkataba.
Naona watu wanaenda kisomi zaidi.