Katika hili niwaombe msitangulize hisia na muache sheria ifuate mkondo wake kwa manufaa ya club na wadhamini wa club, akili za Morisson wote mnazijua swala la kumruhusu akasajiliwe na club nyingine ikiwa mkataba wake haujaisha linaweza kuwageukia Simba Sc hapo baadae.
Vipi akija kugeuka na kusema Simba Sc ndo imevunja mkataba hivyo anaomba fidia? Au kwasababu nyinyi hamuhusiki na maswala ya kifedha pale Simba ndomaana mnaongea bila kuzingatia cautions zozote?
Simba Sc haina shida nae ila ni lazima sheria ifuatwe wakati wa kusajili na kuachana na mchezaji.
Sent using
Jamii Forums mobile app