Heshimu utaratibuWampe hiyo Release Letter yake aondoke nayo, ili huu ujinga wa kuimba Morisson kila siku uishe.
Wewe Utopolo ulianza lini kuwa Simba?Simba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Umeonae? Halafu eti wanajiita klabu inayoendeshwa kisasa wakati inaendekeza mambo ya hovyo Kama haya, uswahili mwingi. Hakika bado tuna safari ndefu Sana.Simba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Rage hakukosea kabisaSimba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Utaratibu gani huo kama sio umbumbumbu na upumbavu. Umetangaza hadharani kuwa umeachana na mtu fulani kwanini usimpe barua ya kumuachia sasa.Heshimu utaratibu
Utaratibu gani huo kama sio umbumbumbu na upumbavu. Umetangaza hadharani kuwa umeachana na mtu fulani kwanini usimpe barua ya kumwachia sasa
Katika hili niwaombe msitangulize hisia na muache sheria ifuate mkondo wake kwa manufaa ya club na wadhamini wa club, akili za Morisson wote mnazijua swala la kumruhusu akasajiliwe na club nyingine ikiwa mkataba wake haujaisha linaweza kuwageukia Simba Sc hapo baadae.Simba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Inamaanisha Morrison hataweza kucheza preliminary round kwa kuwa jina lake litachelewa CAF, na kwa kuwa Yanga hatoboi hiyo hatua ndio itakuwa Morrison hatagusa CAF kwa next season.Yanga watalipa fine ya kuchelewesha jina la Morrison CAF ila atakipiga bila wasiwasi.Wanachokifanya Simba ni uswahili wa kawaida wa vilabu vyetu, especially wao ni mbumbumbu fc Kwaiyo wako sawa.
Kumpa release letter kabla ya mkataba wake kuisha ndiyo uswahili wenyewe, ambao kwasasa haupo pale Simba Sc kama ulivyokiri mwenyewe.Umeonae? Alafu eti wanajiita klabu inayoendeshwa kisasa wakati inaendekeza mambo ya hovyo Kama haya, uswahili mwingi. Hakika bado tuna safari ndefu Sana.
Nafikiri ni wanafata utaratibu tu.Kwahiyo hapo Simba wanamkomoa nani?
Timu ya nje inayomtaka,Yanga au BM3 mwenyewe?